Habari zenu,
Kwa mara nyingine tena baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kusikika,tumerudi kwa kasi isiyopimika.
Leo tunapenda kuzungumzia kuhusu sababu zilizofanya wanafunzi wengi wakose nafasi za kuchaguliwa vyuo vikuu katika awamu ya kwanza na ya pili 2017/2018.
Awali kabla ya yote mfumo wa udahili ulikuwa chini ya TCU kwa miaka kadhaa hapo nyuma ambapo wanafunzi walikuwa wakiomba kupitia TCU,kwa...
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeanzisha utaratibu wa kuwasomesha
wanafunzi wasiojiweza kifedha, wakiwamo wanaoshindwa kulipia ada na
malazi baada ya wazazi au wategemezi wao kufariki dunia.
Hayo yalielezwa na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Rwekeza Mukandala
alipokuwa akizungumza...
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
TAARIFA KWA UMMA
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa Awamu ya Pili ya
Udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali
ulimalizika tarehe 10 Oktoba 2017. Kutokana na waombaji wengi kutochaguliwa kwa
sababu mbali mbali, Tume inatangaza kuwa itafungua maombi kwa Awamu ya Tatu
kuanzia tarehe 16 hadi 18 Oktoba 2017. Tume...