
Mahakama
Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA)
Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili wamtuhumiwa huyo
walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya
kukata rufaa.
Hii
ni mara ya tano mbunge huyo anakosa...