
Ndugu
zangu kama ambavyo tunakumbuka Tarehe 10/09/2016 majira ya saa 9 na
dakika 27 Alasiri maeneo ya Kanda ya ziwa hasa Mkoani Kagera kulitokea
tetemeko la ardhi linalokadiriwa kuwa na ukubwa wa 5.9 katika vipimo vya
Richter ambapo Kitovu cha...