Na Ally Daud-Maelezo
MADAWA
bandia na yasiyo sahihi kwa matumizi ya binadamu yamekamatwa maeneo ya
Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini baada ya kufanyika ukaguzi maalum
wa kutafuta dawa bandia katika maeneo hayo iliyofanyika hivi karibuni.
Hayo
yamesemwa na Mkurugenzi...
SELECTED CANDIDATES TO JOIN VARIOUS UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES 2016.2017 BATCH 3
SELECTED CANDIDATES TO JOIN VARIOUS UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES ACADEMIC YEAR 2016.2017 BATCH ...
CONGRATULATIONS AND WELCOME TO MZUMBE UNIVERSITY
The following applicants have been selected to join various
undergraduate programmes (Degree, Diploma & Certificate) at Mzumbe...
Serikali
imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016
ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza
kitaifa ni shule ya Msingi Kwema ya mkoani Shinyanga
...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 27
Oktoba, 2016 amemteua Bw. Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji
wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).
Bw. Samwel Peter Kamanga ameteuliwa kushika wadhifa huo kuanzia tarehe 27 Oktoba,...
PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS:
ALL STUDENTS ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 BY 28TH
OCTOBER 2016. STUDENTS WHO WILL FAIL TO COMPLY WITH THIS NOTICE WILL
NOT BE ALLOWED TO CONTINUE WITH THEIR STUDIES.PAYMENT MUST BE MADE
BEFORE...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli,
alipoingia madarakani mwezi Novemba 2015 aliendeleza
jitihada za kukuza uchumi wa nchi yetu kwa kuweka mkazo na kutoa maagizo kwenye
maeneo kadhaa yakiwemo; kuongeza nguvu kwenye ukusanyaji wa...