Sunday, 16 October 2016
Saturday, 15 October 2016
Friday, 14 October 2016
JINSI YA KUHAMA CHUO ULICHOCHAGULIWA KWENDA CHUO KINGINE 2016/2017
Habari zenu,
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu utaratibu wa kuhama chuo kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuo vikuu mwaka wa masomo 2016/2017.
TCRA yapiga ‘Stop’ Simu za Samsung

Thursday, 13 October 2016
MPYA:TCU IMEACHIA SELECTION ZOTE ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VIKUU MBALIMBALI TANZANIA 2016/2017
Kupitia ukurasa wake wa CAS.TCU.GO.TZ tume ya vyuo vikuu Tanzania,imeamua kuachia link ambayo inaonyesha kila mtu chuo alichochaguliwa mwaka wa masomo 2016/2017.
WALIMU WALIOPIGA MWANAFUNZI MBEYA ADHABU YAO KUBADILIKA MDA WOWOTE,BADLA YA KUFUKUZWA CHUO
BAADA ya uamuzi wa kuwafukuza vyuo walimu wanne waliokuwa kwenye mafunzo
ya vitendo katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya (Mbeya Day),
serikali imesema vyuo husika vinaweza kushauri adhabu mbadala iwapo
vitajiridhisha kuwepo kwa mazingira tofauti na yaliyozingatiwa kwenye
uamuzi wa kuwafukuza vyuo.
Wednesday, 12 October 2016
Video: Diamond Anaswa Na Vidosho Watatu Garini Usiku, Atimua Spidi 120
DAR ES SALAAM: Msanii nyota wa Muziki wa Bongo Fleva mwenye mafanikio makubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ juzikati alinaswa usiku mnene maeneo ya Sinza Afrikasana jijini Dar akiwa na vidosho (wasichana) watatu ndani ya gari lake, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili.
UPDATED:HII HAPA LIST YA VYUO VILIVYOTOA SELECTION YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MBALIMBALI 2016/2017
Maswayetu blog,tumedhamiria kuwapa vitu roho inapenda hapa
mjini,Tumeamua kukuwekea list ya vyuo vikuu ambavyo vimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa na joining instructions za kujiunga na vyuo vikuu 2016/2017-FIRST BATCH
KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU 2016/2017,

































