Katika sherehe za maadhimisho ya
Wiki ya Elimu yaliyofanyika mkoani Dodoma mwaka 2015 , Mhe. Balozi wa
Jamhuri ya watu wa china aliahidi kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya
vizuri zaidi katika masomo ya Sayansi katika Mtihani wa kumaliza Kidato
cha Nne mwaka
2014. Wanafunzi sita (6) walipatiwa zawadi hizo kwa niaba ya wenzao.











