
Monday, 19 September 2016
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU TUMAINI UNIVERSITY(SHUCO)-MBEYA 2016/2017
List of Selected Students to join Degree Programmes 2016/2017 TUMA – SHUCo-Mbeya Centre

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU SAUT-STELLA MARIS(STEMUCO-MTWARA 2016/2017-FIRST BATCH
Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa digrii,diploma na cheti kwa wanafunzi walioomba stella maris mtwara 2016/2017.Majina yote yapo ktk PDF moja
Aliyeng’atwa ulimi Wakati Akipigana Denda na Mwanamke Ahofia Kuachwa na Mchumba Wake
Kijana
Saidi Mnyambi (26) anayedaiwa kung’atwa 1/3 ya ulimi wake wakati
wakinyonyana ulimi na mwanamke mmoja, ameingiwa na hofu kuwa mchumba
wake anaweza kumwacha kutokana na kitendo hicho.
Kijana huyo mkazi wa Unyankhae, Manispaa ya Singida, aliyasema hayo juzi hospitalini alikolazwa .
Alisema hofu aliyonayo inachangiwa kwa kiasi kikubwa na tukio hilo kuwa gumzo kubwa ndani na nje ya Singida.
“Kabla
ya tukio hilo, uchumba wangu ulikuwa unaendelea vizuri na mambo
yalikuwa yanaelekea kwenye kufunga ndoa lakini sasa nina hofu mwenzangu
anaweza akapotoshwa na mambo yakaharibika. Nikitoka hospitalini
nitalifuatilia jambo hili kwa ukaribu zaidi ili kuweka mambo sawa,” alisema Mnyambi.
Kuhusu matibabu, Mnyambi alisema anaendelea vizuri na kwamba sasa anaongea vizuri kama binadamu wengine na maumivu yamepungua.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Singida, Peter Kakamba alisema wanamshikilia mwanamke
huyo (jina hajalitaja) aliyemng’ata ulimi Saidi na wanaendelea na
upelelezi kabla sheria hazijachukua mkondo.
Alisema mkuu wa upelelezi makosa ya jinai Mkoa wa Singida anakamilisha uchunguzi lakini akabainisha kuwa taarifa zilizoenea awali kuhusu tukio hilo ni tofauti na hali halisi.
Alisema mkuu wa upelelezi makosa ya jinai Mkoa wa Singida anakamilisha uchunguzi lakini akabainisha kuwa taarifa zilizoenea awali kuhusu tukio hilo ni tofauti na hali halisi.
“Baada
ya kumpata mwanamke anayetuhumiwa kumng’ata ulimi Mnyambi, zimepatikana
taarifa mpya. Waandishi kuweni na subira tutawapatia taarifa zenye
mashiko wakati wowote kuanzia sasa,” alisema Kakamba.
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHGULIWA CHUO KIKUU MUM DIGRII- 2016/2017
MAJINA YA AWALI YA WALIOOMBA MUM, AMBAO WANASUBIRI UTHIBITISHO WA TCU
Majina yafuatayo ni wanafunzi walioomba kujiunga na MUM awamu ya kwanza na
kuthibitishwa na chuo. Kutokana na kanuni; majina haya yanasubiri
kuthibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU); kwa sababu hizo chuo
hakitatoa barua za maelekezo ya kujiunga na chuo hadi pale TCU
watakapowathibitisha.
Hata hivyo, kila mwanafunzi mwenye taarifa kamili na sahihi kama alivyotutumia na kama zilivyo hapa hakuna shaka kuhusu kuchaguliwa kwake!!!
Kama
umetuma maombi na jina lako halipo hapa tafadhali tupigie simu mapema
kuanzia tarehe 19/09/16 hadi 26/09/16! Zingatia kuwa hii ni awamu ya
kwanza na tutaendelea kutoa awamu nyingine!
HONGERENI!
Sunday, 18 September 2016
Aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti UHURU IRINGA Bw. Frank Kibiki amefariki jioni ya leo jijini Dar Es Salaam
ALIYEKUWA mwaandishi wa habari wa gazeti linalomilikiwa na Chama Cha Mapindizi (CCM), UHURU, Bw. Frank Kibiki amefariki jioni ya leo jijini Dar Es Salaam mara baada ya kuugua ghafla. Taarifa za awali zinasema kuwa marehemu alikuwa akiugua ugonjwa wa malaria kwa zaidi ya siku tatu na alikuwa akipata matibabu jijini Dar Es Salaam.
Marehemu Kibiki pia alishiriki ktk kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi ya kuwakilisha jimbo la Iringa mjini ktk nafasi ya ubunge. Taarifa zaidi endelea kuperuzi tovuti hii au fatilia taarifa zetu za habari.
LIST OF STUDENTS SELECTED BY NACTE TO JOIN TUMA FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017
TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA
LIST OF STUDENTS ADMITTED BY NACTE TO JOIN TUMA FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017










![Diamond Platnumz Ft Raymond [Rayvanny] – Salome (Traditional) | Mp3 Download 9babc957-1910-4e30-b834-59e704b7684f](http://bekaboy.com/wp-content/uploads/2016/09/9babc957-1910-4e30-b834-59e704b7684f-575x336.jpeg)
