TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA PILI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
(NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi mbali
mbali za cheti na diploma na Umma kwa ujumla kuwa uhakiki wa uteuzi wa
awamu ya pili kwa waombaji wa cheti na diploma umekamilika na kwamba
uteuzi huu sasa unaonekana kwenye kurasa binafsi (profile) za waombaji.
Hii ina maana kuwa waliochaguliwa sasa wanaweza kuona mahali
walipochaguliwa kupitia kurasa zao binafsi.
Hata hivyo, Baraza linaomba radhi kwa
kuwa uhakiki wa uteuzi kwa baadhi ya vyuo haujakamilika hivyo Baraza
litashindwa kuwaonyesha waombaji wa vyuo hivyo uteuzi wao. Vyuo hivyo ni
pamoja na vyuo vya kilimo na uvuvi na baadhi ya vyuo vikuu. Baraza pia linapenda kuwaarifu
waombaji waliofanya maombi kwenye vyuo vya Ualimu vya Serikali kuwa
uteuzi kwenye vyuo hivyo bado unasubiri mwongozo wa Serikali na hivyo
watafahamishwa mara Baraza litakapopata mwongozo kutoka Wizara yenye
dhamana ya Elimu juu ya uchaguzi huo.
Manyoni. Bweni la Wasichana la Shule ya Sekondari Mwanzi wilayani Manyoni, Mkoa wa Singida, limeteketea kwa moto na kusababisha hasara ya zaidi ya Sh50 milioni huku wanafunzi 42 wakinusurika.
Hilo ni bweni la shule pekee wilayani Manyoni yenye kidato cha tano na sita.
Akizungumza muda mfupi baada ya kukagua bweni hilo, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mathew Mtigumwe ameagiza timu maalumu iundwe kubaini chanzo cha moto huo.
“Pamoja na uchunguzi wa awali kuonyesha uwezekano wa moto huo kusababishwa na hitilafu ya umeme, tusibweteke, lazima uchunguzi wa kina ufanyike ili kubaini chanzo cha moto huu,” amesema Mtigungwe.
Pia, amesema kama kuna watu wamehusika, wakamatwe na kufikishwa mbele vyombo vya sheria.
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Geofrey Mwambe amesema mali mbalimbali za wanafunzi zenye thamani ya zaidi ya Sh25 milioni zimeteketea, huku hasara ya Sh24.3 milioni ikipatikana kutokana na jengo hilo kuharibika.
1.KALAMBO EKLAND E M BAED
2 JACKSON MISAGO M BAED
3 SAMWEL MARCO M BAED
4 MRISHO HUSSEIN J M BAED
5 WAWA MWAJUMA MOHAMED F BAED
6 LUBAPULA TIHO LUMANIJA M BAED
7 NGAILO ROMANUS EMELAM M BAED
Habari yako, Padri wa kanisa katoliki ,awatandika viboko waumini wa kanisa la kisabato waliokuwa wameenda kusali.. Maswayetu blog imepata AUDIO ya padri huyo akiwa kanisani na tumemaua kukuwekea hapa,