TAARIFA
KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA PILI NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI
KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
(NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi za
cheti na diploma na Umma kwa ujumla kuwa lilifunga...
FORM FIVE JOINING INSTRUCTION 2016/2017 PDF - Joining Instruction Kidato cha Tano 2016/2017
PATA JOINING INSTRUCTION FORM FIVE 2016/2017
DOWNLOAD JOINING INSTRUCTION FORM FIVE 2016/2017/MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2016/2017
JOINING INSTRUCTION FORM FIVE 2016/2017 1ST SELECTION
SECOND...
TANGAZO MUHIMU!
MUDA WA KURIPOTI (REPORTING TIME) KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka
2016 wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo
mwanafunzi...
TAARIFA KWA UMMA
OR-TAMISEMI inatangaza majina ya
wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili
(Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo
wasichana 2,413 na wavulana 1,505...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 01
Septemba, 2016 amemuapisha Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mipango, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Bw.
Doto M. James aliteuliwa kushika wadhifa huo jana tarehe...