
Mkuu wa Wilaya ya kasulu Kanali Martin Mkisi akikagua paredi ya vijana 1140 wa operesheni Magufuli kwa mujibu wa sheria katika kikosi cha 825 KJ kilichopo Mtabila katika Wilaya ya Kasulu, Mkoani Kigoma.
Na Abel Daud, Globu ya Jamii, Kigoma
Mkuu wa Wilaya ya kasulu Kanali Martin Mkisi...