INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Nit kimenuka,wanafunzi wanaandamana kudai hela zao za quarter 3 na 4, pia ubovu wa ratiba ya mwaka wa masomo ya chuoni.
TAARIFA KAMILI INAKU...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SERIKALI imetuma kikosi maalumu cha ulinzi, kikiongozwa na Jeshi la
Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya kuwasaka watu
wanaodaiwa kuwa majambazi ambao wanaendesha mauaji ya kinyama mkoani
Tanga.
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya watu wanane kuuawa kinyama...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Amezungumzia wanafunzi walioenda chuo kikuu cha Dodoma waliofukuzwa
ambao hawakuwa na vigezo vya kujiunga chuo na kushangazwa wanasiasa
wanaowatetea.
Ameongezea kusema wanafunzi walioondoka wamefukuzwa na hata wanafunzi wote wangefukuzwa kama wangegoma. \
VIDEO
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
IVE UPDATES UDSM
Yanayojiri ziara ya Magufuli chuo kikuu Dar es Salaam
Wanafungua mkutano kwa kuimba wimbo wa Taifa wa Tanzania na na wimbo wa Taifa wa China
Wengine waliohudhuria ni ya ni waziri wa elimu Joyce Ndalichako, rais
msataafu Jakaya Kikwete, balozi wa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
VIJANA
wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kwa
mujibu wa sheria wamekuwa wengi kiasi cha kuifanya Serikali kushindwa
kuwachukua wote, Bunge limeelezwa.
Hivyo,
kutokana na sababu hiyo, Serikali imeamua kuongeza idadi ya kambi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MAKAMU
Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wanaCCM
kufanya kazi kwa ajili ya kuimarisha chama na kuahidi kuyatumbua majipu
hadi katika chama.
Dk
Shein alisema kwa upande wa serikali kazi ya kuunda serikali inaendelea
na kuwataka watendaji...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
POLISI
mkoani Mwanza imemuua jambazi baada ya mtu huyo akiwa na wenzake wawili
kurushiana risasi na polisi waliokuwa doria baada ya kushindwa kutii
amri ya kusimama walipotakiwa kufanya hivyo na polisi.
Akizungumza
ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi walioandaa
mgomo wa jana Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) huenda wakakumbwa na
hatua za kinidhamu kwa kosa la kukikuka sheria ndogo ya Chuo kwa kuandaa
mkusanyiko pasipo kibali cha Menejimenti.
Naibu
Makamu Mkuu wa Chuo taaluma Florens Luoga amesema kuwa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa masikitiko makubwa MASWAYETU BLOG TEAM imepokea msiba kutoka serikali ya wanafunzi SUA kwamba mwanafunzi wa mwaka wa pili jina tajwa hapo juu kozi ya HUMAN NUTRITION amefariki dunia leo asubuhi tar 1.6.2016.
MASWAYETU BLOG inatoa pole kwa familia na jumuiya nzima ya...