KWA MKOA WA DAR>>>>>Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza Mkoa wa Dar es salaam mwaka 2016
MWANZA
Wanafunzi waliochaguliwa Kidato Cha I 2016: Wavulana Kutwa
Wanafunzi waliochaguliwa Kidato Cha I 2016: Wasichana Kutwa
Wanafunzi waliochaguliwa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Asilimia 97 Wachaguliwa Kidato cha Kwanza
Jumla ya wanafunzi 503,914 kati ya wanafunzi 518,034
waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza mwakani, sawa na asilimia 97.3
wamepata nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za
serikali, huku wengine 12,847 wamekosa nafasi za kujiunga na masomo
kuanzia mwezi Januari mwakani.Aidha Sh. bilioni...