Timu ya Iran na Nigeria zilitoka
sare ya suluhu bin suluhu , katika mechi yao ya kundi F huko Curitiba,
kwenye fainali ya kombe la dunia siku ya Jumatatu.
Timu hiyo ya Carlos Queiroz ilionekana kuwa ngumu kushindwa tangu mwanzoni.Tuesday, 17 June 2014
BREAKING NEWZ:SHAMBULIZI JINGINE LAKUMBA MPEKETONI
Shambulizi lengine limetokea katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu , pwani ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 10.
Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyowaua watu 50 Jumatatu.
Polisi wanasema kuwa washambuliaji hao walivamia kijiji kimoja usiku kucha.
Kundi la Al Shabaab lilikiri kufanya mashambulizi hayo na kua
Shambulizi lengine limetokea katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu , pwani ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 10.
Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyowaua watu 50 Jumatatu.
Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyowaua watu 50 Jumatatu.
Kundi la Al Shabaab lilikiri kufanya mashambulizi hayo na kua
Shambulizi lengine limetokea katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu , pwani ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 10.
Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyowaua watu 50 Jumatatu.
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS KIKWETE ATOA AHDI KUWALETA TREY SONGZ NA USHER RAYMOND NEXT MONTH
Rais Kikwete na baadhi ya wasanii |
Rais Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani Usher Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.
VIDOE
WANAWAKE WA VIGOGO WADAI KUFANYISHWA NGONO NA WAGANGA WA KIENYEJI,NI WAKE WA VIGOGO GANI,SOMA HAPA.
IMEBAINIKA kuwa
miongoni mwa wale wanawake 20 waliodai kufanyishwa ngono na waganga wa
kienyeji ‘sangoma’ ili kupata ujauzito baada ya kukaa muda mrefu
bila watoto, wamo wake wa vigogo Bongo, Uwazi limechimba.
Kamanda Kiondo akielezea kuhusu uhalifu wa Sangoma walionaswa kwa kufanya ngono na wake wa vigogo.
TUMWONEE HURUMA MTOTO HUYU KAPATA MATESO KWA SIKU 730
SIKU 730 au
miaka miwili ya unyama na ukatili uliombatana na vipigo mfululizo,
vimempa wakati mgumu katika maisha mtoto wa miaka 15, Melina aliyefika
katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea kijijini Ishozi-
Kiziba, Kagera kwa lengo la kufanya kazi za ndani, yaani ‘hausigeli’.
Mtoto
Melina wa (15) aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012
akitokea kijijini Ishozi- Kiziba, Kagera kwa lengo la kufanya kazi za
ndani, yaani ‘hausigeli’ akiwa amejeruhiwa vibaya na bosi wake
anayefahamika kwa jina moja la Yasinta.
Monday, 16 June 2014
SEKRETARIETI YA AJIRA:TAARIFA KWA UMMA(SOMA TAFADHALI)
Sekretarieti ya Ajira
inapenda kutoa tahadhari kwa waombaji wote wa nafasi za kazi kupitia
chombo hiki kuwa kumezuka kundi la watu wanaojifanya ni watumishi wa
Sekretarieti ya Ajira ambao kwa makusudi wamekuwa wakiwapigia simu kwa
lengo la kuwalaghai baadhi ya waombaji wa nafasi za kazi Serikali
wakidai wapewe fedha ili waweze kuwasaidia kupata kazi Serikalini kwa
urahisi mara baada ya kufanya usaili.
Katibu wa Sekretarieti ya
Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi amefikia hatua ya kutoa
tamko hili kutokana na baadhi ya waombaji wa nafasi za kazi Serikalini
kukumbwa na kadhia hiyo na kutoa taarifa. Amesema Ofisi yake haina
utaratibu wa kuwapigia simu waombaji wa fursa za ajira Serikalini na
kuwadai fedha ili kuweza kuwapatia nafasi ya ajira. Hivyo, endapo kuna
msailiwa yeyote atakayepigiwa simu ajue hao watu ni matapeli na ni vyema
akawapuuza kw akutokuwapa ushirikiano na badala yake kuwaripoti katika
vyombo vya dola ili waweze kuwachukulia hatua stahiki.
ANGALIA RATIBA KAMILI ,MATOKEO NA WAFUNGAJI WA KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014
UDOM WASITISHA MITIHANI YA UE,KISA WALIMU WAMEGOMA
Wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma leo wameshindwa kufanya mtihani yao ya mwisho wa muhula ijulikanayo kama UE kutokana na walimu kutokulipwa pesa zao wanazoidai chuo hicho.
WANAWAKE TU:HATUA ZA KUFATA KUSAFISHA UKE
Awali nilikuwa nikidhani kuwa kila mwanamke anapaswa na anafahamu jinsi ya kujisafisha ndani ya uke
mara tu baada ya kuondolea bikira (kuanza mahusiano ya kimapenzi na hatimae ngono), lakini nimekuja kugundua ukweli kwamba wanawake wengi hawajui uke unasafishwa vipi?
HII BALAA:FUNDI SIMU AVUJISHA PICHA ZA UCHI ZA MTEJA WAKE,SOMA HAPA
Fundi simu azua balaa baada ya kusambaza picha hizi maana hii sasa imekuwa official kwamba wasichana wengi sasa wa generation hii wamepotea in the name of love.
MAHUSIANO:UKIONA UMETENDWA NA UMPENDAE FANYA HAYA
HII NDIO AINA YA WANAWAKE WANAOFAA KUWEKA NDANI 'WIFE MATERIAL'
Stacey
Tantleff-Dunn mtalamu wa afya ya ulaji na mwonekano anasema kwamba,
vipimo vya uzuri kwa wanawake vimegawanyika. Kwa kawaida wanaume hupima
uzuri wa mwanamke kwa sura au mwili, lakini linapokuja suala la kupata
mtu ambaye wanataka kuishi naye kama mke, suala la haiba, yaani tabia na
mwenendo, linachukua nafasi kubwa.
KAHABA AKAMATWA AKIJUZA NJE YA OFISI ZA SERIKALI
Njaa mbaya! Kama ulikuwa unadhani ile
Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers imenywea, basi
umenoa! Safari hii imenasa tukio la mrembo akijihusisha na biashara
haramu ya ngono nje ya ofisi za serikali, Ijumaa Wikienda lina kitu
laivu.
Mrembo aliyekuwa akijihusisha na biashara haramu ya ngono nje ya ofisi za serikaliakikurupuka mara baada ya kunaswa mtegoni.