HATIMAE,
Fainali za Kombe la Dunia zinaanza Leo hii huko Sao Paulo, Brazil
wakati Wenyeji Brazil wataivaa Croatia katika Mechi ya Kwanza ya Kundi A
itakayochezwa Arena Corinthians, au kwa Jina jingine Arena de Sao
Paulo.
Thursday, 12 June 2014
SIKILIZA MAJIBU YA MBUNGE SALVATORY MACHEMLI WA CHADEMA KUHUSU PICHA ZA UTUPU ZILIZOSAMBAZWA MITANDAONI ZENYE SURA YAKE
Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii
zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania
zikionyesha wakiwa kwenye sehemu za faragha sehemu ambazo hutumiwa zaidi
na wapenzi na zaidi ni namna picha hizo zilivyotoka maana zingine zilikua ni
zaidi ya nusu utupu.
Salvatory Naluyaga Machemli mbunge wa Ukerewe kupitia Chadema ni
miongoni mwa wabunge waliotajwa kuwepo kwenye orodha hiyo na ni baada ya
kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa na binti wakiwa zaidi ya nusu
utupu,Soudy brown akaongea naye.Majibu na kila kitu kilichozungumzwa kipo hapo chini. ANGALIA VIDEO HAPA
WAZIRI ANUSURIKA KUFA AKIWA NA GARI LAKE
![]() |
| Gari la Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka likiwa katika kituo cha polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga baada ya kugonga punda |
DENTI YATIMA AKATWA MGUU
KUELEKEA KOMBE LA DUNIA HII NDIO MISHAHARA YA MAKOCHA WA KOMBE LA DUNIA

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza,
Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri miongoni mwa makocha
wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini
Brazil.
SOMA:HOTUBA YA MHE DKT. SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA (MB), WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI KWA MAAFISA ELIMU
| HOTUBA YA MHE DKT. SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA (MB), WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI |
Ndugu Dkt. Siston Masanja
Mgullah, Mtendaji Mkuu wa ADEM,
Wednesday, 11 June 2014
BRAKING NEWZ:AKRAI ACHARANGWA NA MAPANGA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KUTUO CHA POLISI
'MDADA ALIYEONEKANA KATIKA PICHA NA KOMBA AFUNGUKA, AZIMIA'
Awali katika gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita ukurasa wa mbele kulikuwa na habari hiyo ikiwa na kichwa; KHAA! KOMBA! Katika habari hiyo picha zilizomuonesha mheshimiwa Komba akiwa na mrembo huyo zilipamba ukurasa huku mwenyewe (Komba) akidai ni picha za kutengeneza).









