Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop na Mbunge wa Mikumi, Profesa Jay, amefunguka juu ya Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kufungia wasanii na baadhi ya kazi zao, na kusema kuwa suala hilo sio sahihi.Jay amesema BASATA wanapaswa kukaa na wasanii na kuzungumza nao, ikiwezekana kutoa semina elekezi, lakini...