Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amemshauri Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania endapo analiona ni kikwazo kwake.
Ushauri huo ameutoa jana ikiwa ni saa chache baada ya Rais Magufuli kukosoa uamuzi wa Bunge kumuita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji amekua akishikiliwa na Polisi kituo cha kati Dar es salaam toka Alhamisi ya February 9 2017 baada ya kwenda kuhojiwa kutokana na kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya watu 65 kwenye sakata...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati sakata la kutangaza na kushikiliwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam watu wanaotuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya.
Pia alieleza kushangazwa kwake na baadhi ya wawekezaji na wafanyabiashara...
Vita ya kupambana na dawa za kulevya nchini iliyopamba moto zaidi na kuzua mijadala tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipoanza kutaja majina ya watuhumiwa imemuibua Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dkt. Wilbroad Slaa....
Askofu
Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo
jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo
cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa...
Shughuli
za ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam (Terminal 3) jana tarehe 09 Februari, 2017
zimeendelea kama ilivyoagizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli aliyefanya ziara ya kushtukiza jana tarehe 08...
Habari zenu,
Je,wewe ni mhitimu wa kidato cha nne 2016 na kurudi nyuma?
Nacte imefungua application kujiunga na vyuo katika ngazi ya cheti na diploma mwaka wa masomo 2017/2018 March intake.
Maswayetu blog tutakusaidia kuomba kozi unayoipenda pamoja na kukupa ushauri kuhusu kozi ya kusoma nzuri yenye soko kwa sasa.
Ada ya maombi ni kama ifuatavyo:
Kwa eneo la Afya na Sayansi Shirikishi ada ya...