
KIKOSI
cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imekamata jumla ya
watuhumiwa 13,626 na kuwafikishwa mahakamani kwa tuhuma mbalimbali,
ikiwemo dawa za kulevya na ujambazi wa kutumia silaha kwa kipindi cha
mwaka mmoja wa 2016.
Aidha,
hali ya uhalifu wa kutumia silaha katika...