Saturday, 19 April 2014

TAZAMA LIST YA VIONGOZI WA FREEMASONS TANZANIA

Viongozi wakuu wa Nchi za Afrika na Freemason, Andy Chande

 Viongozi wakuu wa Nchi za Afrika na Freemason
Siri ya List za Viongozi wa Tanzania Yatajwa (Secret Society), Freemason, imedaiwa kuwa na siri nzito na viongozi wakuu wa nchi yetu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Viongozi wakuu wa Nchi za Afrika na Freemason, mwiny, Chande
MWINYI NA ANDY CHANDE
Madai hayo, yametokana na kile kinachoonekana kwamba Kiongozi Mkuu wa Freemason, Afrika Mashariki, Sir Andy Chande, amekuwa akijiweka karibu na viongozi wakuu wa nchi hii kila awamu, hivyo kuonesha kuwa kuna kitu anakitafuta.

Andy Chande

Kikubwa kinachodaiwa ni kuwa Chande anatumiwa na Freemason kuhakikisha kwamba kila kiongozi wa nchi hii anakuwa karibu na jamii hiyo ya siri.
Inazidi kudaiwa kuwa Freemason inafanya njama za hali ya juu kujiweka karibu na Ikulu, ikiwa na mpango wao wa muda mrefu wa kusimika rais ambaye ni memba wa jamii hiyo katika awamu zinazokuja.
Uchunguzi umeonesha kuwa Chande amekuwa karibu na Ikulu tangu Awamu ya Kwanza chini ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na amedumu kujiweka karibu na viongozi wa nchi mpaka awamu hii ya nne chini
ya Rais Jakaya Kikwete.
Jakaya Kikwete, Andy Chande 
Wakati inabainishwa hivyo nchini, wachambuzi wa mambo ya jamii za siri, ikiwemo Illuminati na Skull & Bones, wamekuwa wakiitaja Freemason kuwa na njama za kuitawala dunia kwa kuhakikisha kwamba kiongozi mkuu wa kila nchi dunia.

       Alama za Freemason
 ni anakuwa memba wa jamii hiyo.
MKAPA
Mkapa na Andy Chande

Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alipokuwa madarakani aliwahi kualikwa akiwa na mkewe katika shughuli ya Freemasons kutimiza miaka 100 nchini, sherehe iliyojumuisha wageni waalikwa 350 kutoka nchi mbalimbali duniani japokuwa hapa nchini haikutangazwa sana.
Kwa mujibu wa Sir Andy Chande katika mahojiano yake na mwandishi mkongwe nchini, Ernest C. Ambali wa Gazeti la The Guardian, lililokuwa mitaani Oktoba 8, 2004 alitaja waziwazi kuwa mgeni rasmi katika shughuli yao ni Rais Benjamini Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa. Katika shughuli hiyo pia walikuwepo wafanyabiashara wakubwa,wanadiplomasia, mawaziri n.k.


 Karume na Andy Chande
  Sir Andy Chande akiwa nchini India katika Mji wa Chennai kuzindua hekalu lao la East Star, alieleza kwamba marais wawili wa kwanza wa Tanzania hawakuwa Freemasons lakini walifahamu taasisi hiyo ni nini na inafanya nini katika nchi hii.
Aidha, aliwahi kuweka wazi kuwa hata Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere alikuwa akiijua taasisi hiyo na aliwahi kuikingia kifua ilipotaka kunyang’anywa jengo lao ambalo lipo Sokoine Drive, katikati ya Jiji la Dar es Salaam linalofahamika kama Freemasons Hall.


 
Uchunguzi umeonesha kuwa viongozi wengi wakuu wa serikali wanafahamu shughuli za taasisi hiyo, hali iliyothibitishwa na kiongozi wa Freemasons, Sir Chande ambaye amekuwa akipiga nao picha mara kwa mara wakati wa hafla.
Viongozi wengine wa nchi waliowahi kualikwa au kumualika kiongozi wa taasisi hiyo ni Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Karume, Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye na Rais Mstaafu, Sheikh Ally Hassan Mwinyi.
 
KIMATAIFA
Hivi karibuni, nchini Kenya, aliyekuwa Waziri wa Usalama, Profesa George Saitoti aliyefariki kwa ajali ya helikopta, kifo chake kimehusishwa na Freemasons kwa kudaiwa kuwa alipokuwa Makamu wa Rais wa Kenya wakati wa utawala wa Daniel Arap Moi, aliwahi kupiga marufuku makanisa au dini zinazojihusisha na imani za kishetani.
Imeelezwa kuwa wengi wanadhani kuwa angeweza kuwa Rais wa Kenya iwapo angegombea hivyo kurejesha amri yake ya kupiga marufuku imani ambayo yeye haiamini.
Aidha kuna baadhi ya viongozi duniani wanahusishwa na Freemasons baada ya kuonekana picha zao wakionesha alama za taasisi hiyo, baadhi yao ni Rais Barack Obama, George Bush, Sadam Hussein na Muammar Ghaddafi.
 
Share:

JUST IN: MAGARI MAWILI YAGONGANA ENEO LA MAFIATI MBEYA MUDA MCHACHE ULIOPITA.

Magari hayo muda mchache baada ya ajali kutokea
Hili ni eneo la Mafiati ambapo ajali hiyo imetokea
Gari aina ya Mazda baada ya kupata ajali
Gari hiyo ya Mazda baada ya kupata ajali ambayo imesababisha kufumuka kwa Airbag upande wa Mbele.
Gari aina ya Ipsum muda mchache baada ya kupata ajali.
Picha na Mbeya yetu
Share:

VIDEO:ALICHOKISEMA KIKWETE KUHUSU WANAOWAONGELEA VIBAYA WAASISI WA TANZANIA


Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO

.
.
.
.
.
.
.
Share:

Friday, 18 April 2014

PICHA ZA UCHI ZA MWANACHUO ZAVUJISHWA MTANDAONI NA BOYFRIEND WAKE..JIONEE MWENYEWE HAPA...!

 


Ilikuwa asubui Ya kuamkia Leo nilipowasha simu yangu na kukutana na hizi picha kwenye group moja hivi whatsapp Jamaa aliozituma  inadaiwa kuwa alikuwa na mahusiano na huyu mwanadada aliepiga picha za utupu....
Hivi jamani wadada hamkomi?!Kwanini mwapenda waamini wapenzi wenu vibaya kiasi hiki?!Who is boyfriend by the way eeh?!Badilikeni jamani, unapopiga au kupigwa picha kama hizi fikiria kwanza kesho na keshokutwa itakuaje na huyo mshikaji wako imani yake ipoje kwako?!Pengine ye ni mpitaji tu "Chapa ilale" 
TAHADHARI: PICHA HAZINA MAADILI, KUANGALIA NI HIYARI YAKO ILI MRADI UWE NA UMRI 18+..





Share:

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA TOKA VYAMA VYA UPINZANI JANA JIONI WALIGOMA NA KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE.....HIZI NI PICHA ZA TUKIO HILO



Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaunga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoa katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao



Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaunga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoa katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao
***********

Wajumbe karibu wote wa vyama vya upinzani wanaoshiriki Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, wametoka nje ya kikao cha leo jioni, wakipinga kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) chenye wajumbe wengi ndani ya bunge hilo, kuwaburuza.
 
Wakati akitoa mchango wake, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba aliliambia Bunge kuwa wanashangazwa na kitendo cha CCM kutaka kutumia wingi wao, kutengeneza katiba ambayo hailingani na mawazo ya wananchi, kama yalivyowasilishwa na Tume ya Jaji Joseph Warioba.
 
Alisema kitendo kilichofanywa na Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi, kwenda katika kanisa na kusema wanaotaka muundo wa serikali tatu wanataka kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya kiislamu ni uchochezi unaoweza kuligawa taifa na hata kusababisha machafuko.
 
Alisema pia wanashangazwa na Rais Kikwete kupokea na kusaini rasimu hiyo, lakini akaja bungeni na kuipinga kwa nguvu kubwa.
Share:

ALICHOKISEMA ZITTO KABWE BUNGENI LEO WAKATI AKICHANGIA KIKO HA


Dondoo muhimu za nilichoongea Leo Bungeni
1. Hivi sasa Serikali ya 3 imejificha, ipo. Gharama ni zile zile. Sio lazima tuwe na Marais 3, hatujengi ikulu Mpya. Gharama za Wizara za Muungano zipo ndani ya Bajeti ya sasa ya Serikali mbili. Hakuna taasisi Mpya zaidi ya Tume za uwajibikaji nk.
2. Hatuhitaji kuongeza kodi, tunahitaji kuondoa ubadhirifu na kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima. Tunapoteza Mapato lukuki kwenye misamaha ya kodi (theluthi ya mapato ya idara ya forodha inasamehewa, sawa na tshs 2 trilioni kwa mwaka), ukwepaji wa kodi (asilimia 5 ya Pato la Taifa inapotea, sawa na tshs 2.3 trilioni kwa mwaka ) na ubadhirifu mwingine uliokithiri. Hivyo udhibiti wa asilimia 50 tu wa misamaha ya kodi na ukwepaji kodi unaongeza mapato zaidi ya trilioni 2 ambazo Serikali ya Muungano inaweza kugawa kwa Washirika kwa miradi maalumu ya kitaifa.

3. Serikali 3 zitaweka Uwazi wa Mapato na zitaweka Uwajibikaji kwa serikali kutazamana zenyewe. Hizi za sasa zimejaa lawama sababu hakuna Uwazi. Naomba kuuliza, fedha za mapato kutoka TCRA lini zimeenda Zanzibar? Mawasiliano ni jambo la Muungano. Lini fedha za TCAA zimeenda Zanzibar? Gesi Asilia ni jambo la Muungano, hivi Zanzibar wanapata mgawo wa asilimia ngapi kutoka gesi ya Songosongo? Anga ni jambo la Muungano, fedha za chenji ya rada zimerudi, Zanzibar imepata kitabu hata kimoja? Mimi ni mwenyekiti wa PAC, najua haya ninayosema na hamtayamaliza katika S2 sababu ya confusion ya Muundo. Tatu ni Muundo unaoeleweka. Tukiamua zifanye kazi zitafanya.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger