
Mbunge
wa Viti Maalum (Chadema), Rose Kamili, aliyedai ametekwa na kuteswa
wakati wa uchaguzi mdogo mkoani Iringa, amemtuhumu Mwenyekiti wa CCM
mkoani humo, Jessica Msambatavangu kuwa anahusika na mashambulizi dhidi
yake.
Kamili
alidai alitekwa, kupigwa na kujeruhiwa wakati wa kampeni za...