Hii ni kutokana na mwaliko wa mwenyekiti wa bunge Samwel sit...
Friday, 21 March 2014
WAALIMU BINZA SHULE YA MSINGI,WAKANA KUWAZOMEA WALIMU WA SHANWA SHULE YA MSINGI
WAALIMU BINZA SHULE YA MSINGI, WAKANA KUWAZOMEA WAALIMU
WA SHULE YA MSINGI SHANWA KATIKA WILAYA YA MASWA
Waalimu wa
shule ya Msingi katika Wilaya ya Maswa wamekanusha vikali juu kudaiwa kuwazomea Waalimu wenzao wa shule ya Msingi Shanwa zote
zikiwa katika Mji mdogo wa Maswa
Kwa mujibu
wa Mwalimu mkuu msaidizi Shule ya msingi Binza Bibi Iviri Swai alisema kuwa Ofisi
yake pamoja...
WAALIMU BINZA SHULE YA MSINGI, WAKANA KUWAZOMEA WAALIMU
WA SHULE YA MSINGI SHANWA KATIKA WILAYA YA MASWA
Waalimu wa
shule ya Msingi katika Wilaya ya Maswa wamekanusha vikali juu kudaiwa kuwazomea Waalimu wenzao wa shule ya Msingi Shanwa zote
zikiwa katika Mji mdogo wa Maswa
Kwa mujibu
wa Mwalimu mkuu msaidizi Shule ya msingi Binza Bibi Iviri Swai alisema kuwa Ofisi
yake pamoja...
Thursday, 13 March 2014
DOGO JANJA WAVUNJA UCHUMBA WA MTU MTWARA
DOGO JANJA, ASLAY WAVUNJA UCHUMBA WA MTU MTWARA
Na Chande Abdallah na Nyemo ChilonganiMADOGO
wanaotikisa katika ulimwengu wa muziki Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo
Janja’ na Asilahi Isihaka ‘Aslay’ wamedaiwa kuvunja uchumba wa jamaa
aliyefahamika kwa jina la...
ALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI
ALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI
SAKATA
la staa wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ kunusurika kuuawa na watu
wasiojulikana kwa kutumia bastola limechukua sura mpya, safari hii,
Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa amejiandaa kuhojiwa...
AUNT ,WEMA WALA KICHAPO
KIMEWAKA! Habari zilizothibitishwa zinaeleza kuwa, sura mbili za mauzo
kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson
wanadaiwa kula kichapo kutoka kwa msanii mwenzao, Adam Kuambiana, Amani
limeinyaka.
Wema Sepetu.
Tukio hilo lililoshuhudiwa...
PINGAMIZI LA MGOMBEA UBUNGE CHADEMA CHALINZE
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF
...
Wednesday, 12 March 2014
BWAWA LA MAGEREZA MASWA

Magugu maji
katika lambo la mwantonja Maswa
MAGUGU MAJI YAVAMIA LAMBO LA MWANTONJA MASWA
Na Isaack
Mbwaga Maswa Machi 11,2014
Mhariri Habari Mwananchi
Mimea aina
ya magugu maji yanatishia kufunika kabisa Lambo la...
Saturday, 8 March 2014
AFISA ELIMU AWAPA SOMO WALIMU WAKUU
WAKUU WA
SHULE ZA SEKONDARI MASWA” WAFUNDWA”NA AFISA ELIMU SEKONDORI –NTAGAYE
Waalimu wa
shule za Sekondari katika Halimashauri ya Wilaya ya Maswa wameagizwa
kuhakikisha na wanafuatilia kwa ukaribu ufundashaji wa Wanafunzi katika Shule
zao ili kuinua kiwango cha ufaulu Wanafunzi
Kauli hiyo
alitolewa hivi karibuni na Afisa Elimu Sekondari wa Halimashauri ya Wilaya ya
Maswa Paulina...
CCM MASWA, YAONYWA
CCM
MASWA YAWEKA MSIMAMO KWA WAJUMBE WAKE
KATIKA UTOAJI WA MAONI KATIBA MPYA
Wakati muda
wa Wajumbe wa Mabaraza ya katiba ngazi
ya Wilaya kuanza mchakato wa kutoa maoni kutoka Kata mbalimbali za Wilaya
ya Maswa Chama cha Mapinduzi katika Wilaya
ya Maswa tayari kimeweka msimamo kwa
Wajumbe wanachama wake ambao ni Wajumbe wa Baraza la katiba...
Thursday, 6 March 2014
MKURUGENZI WILAYA YA MASWA ACHA UBABE
MKURUGEZI
MTENDAJI WA HALIMASHAURI YA MASWA, AACHE UBABE KWA WANDISHI WA HABARI
Mkurugenzi
Mtendaji wa Halimashuri ya Maswa bibi Hilda Lauwo anataka kuongoza Halimashuri
ya Maswa kwa ubabe jambo ambalo halita msaidia kwa namna yoyote katika mustakabali
wa Halimashauri hiyo iwapo ataendelea kujenga mazingira hasi kwa wandishi wa
Habari
Katika hali
isiyo ya kawida hivi karibuni alilibeza Gazeti...
Tuesday, 25 February 2014
BUNGE LA KATIBA; MWAKIFWAMBA, BATULI WAKWAA SKENDO
BUNGE LA KATIBA; MWAKIFWAMBA, BATULI WAKWAA SKENDO
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
WAKATI mchakato wa Bunge la Katiba ukianza leo mjini Dodoma, ishu hiyo
imemtia kwenye tope Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon
Mwakifwamba baada ya...
MBONGO ABAKWA CHINA, AFA
Stori: Mwandishi Wetu
AMA kweli dunia hadaa, ulimwengu shujaa! Kumeibuka mchezo mchafu, kuna
Watanzania wanawachukua warembo nchini na kuwapeleka China kwa ahadi
kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni, wakifika kule wanawanyang’anya
paspoti na...
USTADH ALIVYOMCHINJA MTOTO
USTADH ALIVYOMCHINJA MTOTO
Stori: Waandishi Wetu
KUFUATIA tukio la Ustadh Mohamed Said Ngulangwa (36), mkazi wa
Mbagala-Charambe jijini Dar kumchinja mtoto Jamal Salum Ally (12) ambaye
ni mwanafunzi wa darasa la tano kisha na yeye kuuawa na wananchi wenye
hasira, Uwazi kama kawaida yake lilichimba...
FAMILIA YA MISS TZ YAGOMBEA MAITI
FAMILIA YA MISS TZ YAGOMBEA MAITI
Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima
FAMILIA ya Miss Tanzania 1999, Hoyce Nambuo Temu, inadaiwa kuingia
katika mzozo mkubwa wa wapi pa kumzikia mwanafamilia mwenzao, Emmanuel
Lewi Nambuo Temu (33) aliyefariki dunia Februari...
ASKOFU BILIONEA BONGO ATIKISA
ASKOFU BILIONEA BONGO ATIKISA
Stori: Jelard Lucas
ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie
Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi
karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi kwa kuwa na magari...
DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA
DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA
MINONG’ONO
na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi
huru (Freemasons), unazidi kumtesa msanii wa filamu za Kibongo, Mahsein
Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kwa madai ya kwamba anajisikia vibaya
anaponyoshewa...