TAFADHALI FANYA YAFUATAYO KUANGALIZIWA JINA LAKO;
Endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako Fanya yafuatayo;
1.tafadhali tuma Kituo/Shule Uliyofanyia Mtihani kwenda namba 0768260834 mfano BINZA SECONDARY SCHOOL-S0710,pia tuma jina lako
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.1000 TUA AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA KWENDA NAMBA
mwanaye, baba…
Na Kulwa Mwaibale MSIBA!
Mohamed Juma (14) ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule
ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar amefia bwawani wakati
akiogele...
Funguka!
Kwa mara ya kwanza, ‘mnyama’ katika anga la muziki wa Bongo Fleva,
Khaleed Mohamed ‘Top In Dar’ (TID) amekiri kutumia mihadarati aina ya
bangi huku akijiapiza kuwa hajawahi kutumia madawa mengine ya kulevya
‘unga’ ikiwemo cocaine kama ambavyo amekuwa akinyoshewa vidole na baadhi
ya watu, Ijumaa Wikienda ‘lilikabana naye koo’.
KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.
Staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.
Rais
Dk. Jakaya Kikwete akipokea heshima ya Wimbo wa Taifa mara baada ya
kuwasili katika Viwanja vya Chuo cha Maofisa Magereza kilichopo Ukonga
jijini Dar.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Takribani watu 11 wameuawa Magharibi mwa Mali wakati wa mapigano kati ya wapiganaji wa Kiislamu na Jeshi.
Mkazi mmoja kwenye Mji wa Nara, ameeleza kuwa watu hao waliwasili kwa
magari na pikipiki
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. Wiseman Mwakyusa
Luvanda(2) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga
safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka
Sixty
per cent of children aged one to five years in Lindi Region suffer
acute malnutrition, stunting them in height and adversely affecting
their bodies’ internal organs.
The Project Manager of the Partnership for Nutrition in Tanzania
(PANITA) Joseph Mugyabuso said the region’s children suffer various
diseases because they lack immunity, which is due to malnutrition.
He told reporters in Bagamoyo on Friday that Dodoma, Iringa and
Shinyanga are among regions with high rates of malnutrition of 60 per
cent. Tanzania’s biggest challenge is poor diet due to poverty of many
families that makes children under the age of five years to be stunted,
Mugyabuso added.
The
public has been advised to regularly check their health status for
early diagnosis of non communicable disease like cancer, heart and
diabetes disease in order to help save lives of the majority patients.
The Acting Deputy Director of Mental Health and Substance Abuse and Non
Communicable Diseases Dr Auson Rwehumbiza told the presses yesterday in
Dar es Salaam that such diseases have placed patients at their feet
because of late diagnosis.
Government
yesterday refuted claims that 22 deaths that occurred in January 2014
and April 2015 at North Mara mine were caused by soldiers guarding the
mine.
The deaths were caused by a fight among illegal miners, Deputy Minister
for Energy and Minerals Charles Mwijage said in response to a
supplementary question by Tarime MP Nyambari Nyangwine (CCM).
Nyangwine wanted to know the number of villagers allegedly killed by
soldiers guarding the mine that turned place into 'disaster area'
because of the killings of 22 youth.
Women,
youth and other groups have been urged to explore and venture into
investment opportunities available in local administrative areas as a
rapid measure for their personal development and contribution to efforts
geared towards poverty eradication.
George Mtambalike, the local government chairman for Mogo area in Ukonga
Constituency of Ilala Municipality in Dar es Salaam region, made this
appeal at a fund raising get-together campaign organized to raise funds
for the construction of a Roman Catholic priest residence at the Kivule
Chakenge Parish.
He said there were immense opportunities in local government
administrative areas that if taken up by youth and other members of
society, they would be a catalyst for rapid development and breaking the
bonds of poverty.
The
government has defended foreign employees at the Presidential Delivery
Bureau who also work for Big Results Now (BRN) initiative, saying their
skills were of an utmost value.
Deputy Minister of Industry, Trade and Marketing Janet Mbene told the
National Assembly in Dodoma yesterday that the two citizens of Ethiopia
and two from the neighbouring Kenya were employed at BRN after winning
the transparent job interview and proved to be efficient for the job.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiwasili kwenye
ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Iringa na kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa
wa Iringa, Wamoja Ayoub huku Meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi
akishuhudia.
The Welsh forward has been criticised by fans and media after an underwhelming season but his compatriot believes that he will stay at the Santiago Bernabeu for a long time
The Wales international enjoyed a bright debut season in the Spanish capital following his €100 million move from Tottenham but his 2014-15 campaign was less impressive and he became the subject of criticism from fans and pundits.
The 25-year-old has already been linked to a move away from the Santiago Bernabeu, with Manchester United said to be interested in him, but Toshack believes that he will remain in the Spanish capital for years to come.
"My own opinion is that we will probably see, for one reason or another, Cristiano move from Madrid before Gareth," he told BBC Sport.
"You need time to adapt and obviously, for the money they paid for Bale and at the age that he is, he's still got a lot to do."
Toshack, a former Madrid coach, who gave Bale his debut for the national team, believes that the ex-Spurs star has not yet been played in his best position in Spain.
"I hope Gareth will get the opportunity to play in an area of the field where he can do most damage," he remarked. "I'm not so sure playing out wide is Gareth's best position but I think Cristiano has got a bit do with that.
"Ronaldo was always a right winger but likes to play on the left side and I think Gareth suffers a bit for that."
Rafael Benitez has taken over as Madrid boss this season following the sacking of Carlo Ancelotti and Toshack is confident that the Spaniard will be a success.
"Rafa's got all the credentials," he enthused. "There's no question about that. Rafa was at Madrid at the time I was there, working with the junior sides.
"Everyday the newspapers say 'Rafa's going to do this and Rafa's going to do that' but we just have to wait and see.
Kampala International University (KIU) has admitted
it has no hospital for medical students’ clinical rotation at its Dar es
Salaam campus, a necessary requisite short of which may lead to closure
of the academic institution.
Kigoma South MP David Kafulila yesterday wrote a
letter to National Assembly Speaker Anne Makinda seeking that she orders
the government to submit an investigative report on the scandal over
the controversial purchasing of 25 freight wagons worth Sh230 billion by
Tanzania Railways Limited (TRL) officials.
The Dar es Salaam Water and Sewerage Authority (DAWASA)
The Dar es Salaam Water and Sewerage Authority
(DAWASA) has declared that among the most notorious companies associated
with illegal water connection are owners of the brick factories
operating in the country.
As elephants get depleted at a fast speed in various
national parks and game reserves in the country the government will
again carry-out validation exercise on the exact number of jumbos in
Ruaha-Rungwa ecosystem in the southern part of the east African nation.
The Minister of State in the President's Office (Special Duties), Prof. Mark Mwandosya.
The government has officially confirmed withdrawal
of Access to Information Bill, 2015 which was scheduled to be tabled in
the House today, saying that the bill will be tabled in the next
parliament.
Government has endorsed the One Stop Border Posts
Act, 2015 to facilitate smooth movement of people and goods within the
East African Community (EAC)region.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY KONDAKTA mmoja wa daladala ambaye jina lake halikuweza
kupatikana mara moja, juzikati alinaswa mchana akipiga pombe aina ya
kiroba kisha kuzidiwa na ulevi hadi kufikia hatua ya kutojitambua. Konda huyo alinaswa majira ya saa 9 alasiri maeneo ya Stendi ya Buhongwa, wilayani Nyamagana, mkoani Mwanza. Kwa mujibu wa mmoja wa mashuhuda waliokuwepo eneo hilo,
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY KUELEKEA Uchaguzi Mkuu 2015 utakaofanyika Oktoba 25, mwaka
huu, msanii ambaye ni kiongozi wa Kundi la Sanaa la Jakaya Theatre
linalorusha mchezo wake kupitia Televisheni ya ITV, Daudi Mponji a.k.a
Lazi amerithi mikoba ya aliyekuwa mtunzi wa nyimbo za kuhamasisha za
Chama Cha Mapinduzi (CCM), marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia
Februari 28, mwaka huu. Akizungumza na gazeti hili, Mponji alisema ametunga nyimbo tano
ambazo ni Pambazuko, Sema Usiogope, CCM Imeweza, Tumpambe na Mambo
Hadharani, zinazokamilisha albam inayokwenda kwa jina la Pambazuko.
ABIKANILE
anazidi kuandamwa na misukosuko ya kutisha. Alinusurika kifo siku
waliyouawa wazazi wake na siku aliyouawa mpenzi wake Mathius, lakini pia
katika hali ambayo hakuitegemea usiku wa siku hiyo aliyouawa Mathius
aliingia mikononi mwa vijana wanne waliompeleka kwa mganga wa kienyeji
ndani ya msitu wa Nyika.
Martha ndiye aliyekuwa mchokozi pale
kitandani. Alimshikashika Roi kwa kuanzia kichwani, akaja kifuani,
akampa kidole chake kwenye kinywa, Roi akakipokea, akamlalia kifuani
huku akianza kuhema kwa staili ya mahaba.
Mara, mlango mkubwa wa kuingilia sebuleni uligongwa…
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY please pray for BANZA STONE
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ akiugulia.
INASIKITISHA sana! Wakati hali
ya afya ya mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani
Masanja ‘Banza Stone’ ikiwa ni mbaya nyumbani kwao Sinza jijini Dar es
Salaam, madaktari wanapata tabu na kusumbuka kuhusu ugonjwa wa fangasi
ya kichwa unaomsumbua.
Read the followings story consines Godbless Lema>>>>>
MBUNGE
wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesitisha maandamano ya
kuishinikiza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuongeza muda katika vituo
vya uandikishaji, kufuatia mazungumzo yake na msajili wa vyama vya
siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
MREMBO aliyewahi kuwa na uhusiano na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph
Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally, mwanzoni mwa wiki hii aliamriwa na Mahakama
ya Manzese/Sinza, amkabidhi mtoto kwa
Nguza Vicking Babu Seya, (kulia) na Mtoto wake Papii Nguza.
Haruni Sanchawa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza ya Ukonga jijini Dar, ana ratiba ya kuzungumza na maafande na maafisa wa jeshi la magereza na wafungwa katika Siku ya Magereza Tanzania 2015 ambayo huadhimishwa kila mwaka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kikwete.
Kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya jeshi hilo, pia Rais Kikwete atatumia nafasi hiyo kuliaga jeshi hilo kwa vile Oktoba, mwaka huu, nchi itamchagua rais atakayepokea kijiti chake cha urais kwa awamu ya tano.
Msingi wa habari hii ni wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha jela kwa makosa ya ulawiti na ubakaji, wanamuziki Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwani katika hafla kama hiyo, mwaka jana, walimtumia salamu JK wakimwomba awasamehe kwani walishatambua makosa yao.
Risasi Jumamosi: “Je, rais hawezi kuitumia nafasi hiyo kuwaachia huru wanamuziki, Nguza Vicking na mwanaye, ‘Papii Kocha’ ambao wanatumikia kifungo cha maisha jela?”
Chanzo: “Mh! Sina hakika sana. Maana kama hilo lipo ina maana ni jukumu la rais mwenyewe na mipango yake kwa mujibu wa katiba, rais ana mamlaka ya kumsamehe mfungwa kwa kosa lolote lile.”
KUHUSU WARAKA
Risasi Jumamosi: “Juni mwaka jana wakati wa maadhimisho kama hayo, mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe, Babu Seya na Papii walimuomba Rais Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya ambapo waziri, katika kuwajibu alisema mtu akishatumikia kifungo kwa miaka saba au 10 gerezani ana hakika kama ana moyo na nafasi ya kuacha, atakuwa amebadilika hivyo anaweza kupewa msamaha. Je, rais hawezi kutumia mwanya huo?”
Chanzo: “Sijui. Unajua haya mambo ya msamaha ni ya kiitifaki zaidi. Hawezi kila mtu kujua zaidi ya yeye anayekusudia kusamehe.”
JK, BABU SEYA KUONANA
Kwa mujibu wa chanzo kingine, JK anaweza kuonana na Babu Seya moja kwa moja kwani huenda wafungwa hao watatumbuiza kwenye hafla hiyo kama ilivyokuwa mwaka jana ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Chikawe.
VIONGOZI WA MAGEREZA WANENA
Baada ya kunyetishiwa hayo na chanzo chetu hicho, Risasi Jumamosi lilimtafuta Afisa Habari wa Jeshi la Magereza Makao Makuu Tanzania, ASP Lucas Mbonje na kumuuliza kuhusu JK kufika kwenye Gereza la Ukonga leo na kuaga jeshi hilo na kuonana na wafungwa, akiwemo Babu Seya na mwanaye, Papii Kocha ambapo alisema:
“Mimi nipo safarini, hiyo ziara ya rais naijua, ni kwenye Siku ya Magereza, lakini mpigie mrakibu wa magereza, anaitwa SP Edwin Kisiluka.”
MRAKIBU SASA
Risasi Jumamosi lilimtafuta mrakibu huyo na kuzungumza naye kuhusu uwepo wa Rais Kikwete kwenye sherehe ya Siku ya Magereza ambapo alisema:
“Ni kweli, kwa ratiba yetu, Rais Kikwete ndiye mgeni rasmi. Tutakuwa naye. Mbali na hilo, Magereza Day kuna maafisa wa cheo cha inspekta watapandishwa vyeo na kuwa ma-ASP.”
“Vipi, unajua lolote kuhusu rais kuitumia nafasi hiyo kuwaachia huru Babu Seya na mwanaye?”
Mrakibu: “Hilo silijui mimi. Ila ratiba ya shughuli yetu ni hiyo niliyokupa.”
WAKATI HUOHUO
Hali ya kiafya ya Papii Kocha inadaiwa kwenda halijojo gerezani humo akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kifua.
Kwa mujibu wa chanzo, Papii alianza kuumwa mwanzoni mwa mwaka huu hivyo kudhoofika sana na mpaka sasa anaendelea na matibabu.
“Jamani mimi nilikuwa kule kwa miaka kadhaa. Yaani nilifungwa. Papii Kocha anaumwa kifua. Amedhoofika sana. Lakini bado anaendelea na matibabu,” kilisema chanzo hicho hivi karibuni.
Babu Seya na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha mwaka 2004 hivyo mwaka huu wametimiza miaka 11 jela.