HATIMAE WANAFUNZI WA SUA WAFURAHI
BAADA YA KILIO CHA MDA MREFU KUHUSU KUSAINI BOOM LAO(FEDHA YA CHAKULA NA
HOSTEL)
HILO NIMELISHUHUDIA LEO ASUBUHI
MAENEO YA MULTIPURPOSE SUA AMBAPO NILIKUTA WATU WAKIWA KWENYE FOLENI YA
KUSAINI.
PONGEZI ZA DHATI ZIMWENDEE AFISA
MIKOPO WA CHUO HICHO KWA KUPIGA KUFAKUPONA HADI ALIPOPATA MAJINA HAYA.