HABARI ZILIZOTUFIKIA MDA SI MREFU NI KWAMBA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE WAMEGOMA KUINGIA MADARASANI KUTOKANA NA MWENZAO MMOJA KUZIMIA DARASANI WAKATI MWALIMU AKIWA ANAFUNDISHA DARASANI.
MWANAFUNZI HUYO MWAKA WA PILI KOZI YA AGRICULTURE GENERAL MWAKA WA PILI AMEANGUKA GHAFLA DARASANI KUTOKANA NA KUTOKULA KWA MDA WA SIKU MOJA HUKU AKIWA ANASHINDIA MAJI YA KUDOWNLOD YAJULIKANAYO KAMA MOZILA FIREFOX.
HADI SASA HAIJAJULIKANA NI LINI WATAINGIA MADARASANI,HUKU WAKISHINIKIZA CHUO KUWALIPA HELA YAO YA CHAKULA.
0 comments:
Post a Comment