Wednesday, 31 January 2024
WALIOPATA ELIMU YA USALAMA BARABARANI DODOMA WATOA SHUKRANI KWA AMEND, USWIS
WANANCHI WAFUNGA BARBARA YA MWANZAA - SHINYANGA KUKITHIRI MATUKIO YA AJALI UGWETO , WATU WAWILI WAMEGONGWA LEO
Baadhi ya wananchi wamedai kuwa ukosefu wa kizuia mwendo (matuta) kwenye barabara hiyo na baadhi ya madereva kutofuata sheria za usalama barabarani imekuwa chanzo cha kusababisha vifo vitokanavyo na ajali.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga ACP Janeth Magomi amefika eneo la tukio na kuzungumza na wananchi hao ambapo amesema wataendelea kuimarisha doria za usalama barabarani katika eneo huku katibu tawala wilaya ya Shinyanga Said Kitinga amefika na kuchukuwa hatua kwa kuzielekeza mamlaka husika.
Msafara wa magari yakiwa yamezuiwa. |
SERA ZA UCHUMI ZA RAIS SAMIA ZALETA NEEMA KWA MABENKI
EWURA YAENDESHA SEMINA KWA KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO
Tuesday, 30 January 2024
WANA KAGERA KWENDA KIZIMKAZI ZANZIBAR KUMPONGEZA RAIS SAMIA KUIFUNGUA KAGERA KUPITIA KAHAWA
Monday, 29 January 2024
NI KAZI YA KAWAIDA ILA MAFANIKIO YAKE SIO YA KAWAIDA!
Ndio, hiyo ndio kazi yangu, na hapa Arusha nipo kikazi, nimepanga na chumba kabisa na nina shukuru maisha yangu yanaenda vizuri kabisa, ni tofauti kabisa na kipindi nilikuwa nafanya kazi nyingine tofauti na hii.
Kwa kawaida mimi katika kazi hii, baada ya mizunguko mingi ya kutosha na nikiona nimemaliza mitaa yote kwa kusajili laini, ninahama kwenda sehemu nyingine, ndio sababu nilihama Tanga nakuja huko Arusha.
Watu wengi wanaichukulia poa hii kazi ila mimi kupitia hii kazi ninalisha familia, ninalipa kodi mbili, huku kwangu na kwa familia yangu.
Huko Tanga nimenunua kiwanja kabisa, kila kitu kwangu inategemea hii kazi, kwa mitandao yote, nikiingiza hela ndogo kwa mwezi basi ni Sh800,000, kuna mwezi niliwahi kuingiza hadi Sh2.1 milioni.
Hata hivyo, kuna siri ya mafanikio katika kazi yangu hii, nayo ni Kiwanga Doctors ambao walinipatia dawa ya kuvuta wateja, bila hivyo ningekuwa nazunguka sana mitaani bila kupata wateja.
Niliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors kwa ajili ya kunifanyia dawa hiyo baada ya kukaa muda mrefu katika kazi hii lakini mafanikio yalikuwa duni sana, kwa sasa naweza kusema najivunia kile ambacho nakipata.
Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.
Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.
Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.
Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.