Walimu wanaotuhumiwa kumpiga mwanafunzi MBEYA wafukuzwa chuo
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO amewafukuza chuo walimu wanafunzi WATATU
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi
Profesa JOYCE NDALICHAKO amewafukuza chuo walimu wanafunzi WATATU kwa
tuhuma za kumpiga mwanafunzi SEBASTIAN SINGULI .Profesa NDALICHAKO amesema kwa mujibu taratibu za vyuo vikuu kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao ni kosa la jinai na hawawezi kuendelea na taaluma ya ualimu kwa sababu wamekosa sifa ya kuwa walimu.
Aidha ameelezea kusikitishwa kwake pamoja kuchukizwa na kitendo hicho ambacho amesema si cha kawaida na hakiwezi kufumbiwa macho.
0 comments:
Post a Comment