Muimbaji
wa Nigeria, Joshua Iniyezo maarufu kama SolidStar ameachia album yake
iitwayo WEED. Katika album hiyo ameshirikisha mastaa kibao wakiwemo
Diamond, 2 Face, Flavour, Phyno, Burna Boy, Davido, Falz, Timaya na
wengine. Huu ni wimbo Money aliomshirikisha Diamond.
0 comments:
Post a Comment