Kupitia ukurasa wake wa CAS.TCU.GO.TZ tume ya vyuo vikuu Tanzania,imeamua kuachia link ambayo inaonyesha kila mtu chuo alichochaguliwa mwaka wa masomo 2016/2017.
Kama kawaida yetu maswayetu blog huwa hatujivungi ktk kukupa kitu roho inataka,ili uangalie umechaguliwa wapi tafadhali andaa kimojawapo kati ya vifuatavyo;
namba ya simu,
email adress,
namba ya form 4
au namba ya form six
Then ,KUONA CHUO ULICHOCHAGULIWA
>>BONYEZA HAPA<<
0 comments:
Post a Comment