Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema Ushindi wa CCM mwaka 2025 utaletwa kwa namna wana CCM watakavyotekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM huku akisisitiza kuwa Siasa si uadui hivyo kuviomba vyama vya siasa kutoa ushirikiano katika kuimarisha umoja uliopo.
Mhe. Samia ameyasema hayo leo Ijumaa Aprili 30,2021 wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi
Amesisitiza kuwa kazi ya kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi inaendelea kuhusu akibainisha kuwa hatawaangusha wanawake na watanzania kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment