Monday, 15 July 2024

NAIBU WAZIRI HAMIS MWINJUMA AZINDUA LIGI YA DR. SAMIA/KATAMBI CUP,AWASIHI WANANCHI WA SHINYANGA KUMLINDA MBUNGE KATAMBI

...

Na Marco Maduhu,SHINYANGA
NAIBU Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma,amezindua Rasmi Ligi ya Dr. Samia/ Katambi Cup ambayo imelenga kuibua vipaji vya vijana,na itashirikisha timu 32 za mpira wa miguu.

Ligi hiyo imezinduliwa leo Julai 14.2024 katika viwanja vya Jasco vilivyopo Ngokolo, na kucheza michezo mbalimbali ikiwamo ya kuvuta kamba,kukimbiza kuku,kuchoma nyama ambapo washindi waliibuka na zawadi, na timu hizo 32 za mpira wa miguu zitatimua vumbi katika viwanja mbalimbali.
Naibu Waziri Mwinjuma akizungumza wakati wa uzinduzi wa ligi hiyo, amempongeza Mbunge Katambi kwa kuibua vipaji vya vijana sababu kwa sasa mpira ni ajira, huku akiwaomba wananchi wa Shinyanga kwamba wasije jaribu kumpoteza mbunge huyo bali wanapaswa kumlinda na kumpigania kwa nguvu zote ili aendelee kuwa mbunge wao na kuwaletea maendeleo.

“Rais wetu Mheshimiwa Dr. Samia Suluhu Hassan anapenda michezo hivyo Katambi kuanzisha ligi hii ni kumuunga Mkono Rais katika kukuza michezo hapa nchini na kutoa ajira kwa vijana,”amesema Mwinjuma.
Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma.

“Katambi ni Mbunge ambaye anachapa kazi, ni mtu mwenye maarifa makubwa sana, hata Rais Samia ana mwamini katika kumsaidia kazi na kuwatumikia Watanzania wote,hivyo anapaswa kulindwa na kupiganiwa Wabunge kama hawa wapo wachache msije kumpoteza,”ameongeza.

Aidha,ametaja zawadi ambazo watapewa washindi kwenye ligi hiyo kwamba mshindi wa kwanza wa mpira wa miguu, anapewa kiasi cha Sh.milioni 6 pamoja na kombe,mpira na jezi, mshindi wa pili atapewa Sh.milioni 3, kombe,mpira na jezi, huku mshindi wa tatu atapewa Sh.milioni moja,mpira na jezi.
Mbunge Patrobas Katambi.

Ametaja zawadi zingine kwamba mfungaj bora atapewa Sh. Elfu 50, mchezaji mwenye nidhamu Sh.laki moja, na washindi wa kucheza “Dansi”mshindi wa kwanza atapewa Sh.milioni Moja, wapili Laki 5 na watatu Laki 3, na kueleza kwamba zawadi ambazo ametoa mbunge huyo ni fedha nyingi na anawapenda wananchi wake.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha, akizungumza kwenye uzinduzi huo amempongeza Mbunge Katambi kwa kuanzisha ligi hiyo na kubainisha kwamba michezo ina leta umoja, kuimarisha afya na hata kutoa ajira kwa vijana.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Anold Makombe amesema Mbunge Katambi anaitekeleza vyema ilani ya uchaguzi ya CCM kwa vitendo sababu hata michezo ipo kwenye ilani hiyo.

Naye Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,kazi,vijana,ajira na watu wenye ulemavu, amesema lengo la ligi hiyo ni kuibua vipaji vya vijana ambao watapata ajira kwenye timu mbalimbali ikiwamo na Stand united ambayo wapo kwenye mikakati ya kuipandisha kushiriki kucheza ligi kuu ya Tanzania bara.

TAZAMA PICHA HAPA CHINI👇👇
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro akizungumza kwenye uzinduzi wa ligi ya Dk Samia Katambi Cup.
Viongozi wakiwa meza kuu wakiteta jambo.
Mnaibu Waziri Katambi na Mwinjuma (kulia)wakiteta jambo.
Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma akigawa jezi na mipira kwa timu 32 ambazo zitashiriki ligi ya Dr.Samia/ Katambi Cup.
Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma akigawa jezi na mipira .
Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma akigawa jezi na mipira.

Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma akiendelea kugawa jezi na mipira.

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,kazi,vijana,ajira na watu wenye ulemavu akiwa na viongozi mbalimbali wakila nyama choma kwa kuonja kila jiko ili kupata mshindi wakati wa uzinduzi wa ligi Dr.Samia/Katambi Cup.

Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma akisalimiana na wachezaji.

Uzinduzi wa ligi ya Dr.Samia/Katambi ukiendelea.

Penat zikipigwa kuzindua ligi hiyo.

Penat zikiendelea kupigwa kuzindua ligi hiyo.

Mechi zikiendelea kuchezwa.
Mechi zikiendelea kuchezwa.
Mechi zikiendelea kuchezwa.
Picha za pamoja zikipigwa.
Picha za pamoja zikipigwa.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger