Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni kubwa na vifo wachache. Kama una ndugu aliyekuwa route hiyo leo jaribu kuwasiliana naye.
Vilevile kuna abiria waliokuwa wamefaulishwa kutoka kwenye mabasi mengine.
TAFADHALI TOA TAARIFA KWA WENGINE.
MUNGU TUEPUSHE NA HIZI AJALI.
0 comments:
Post a Comment