Wanafunzi 24,616 kati ya 55,347 waliomaliza kidato cha sita
wamekosa nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu kutokana na ushindani kwenye
baadhi ya kozi, jambo lililoilazimu Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
kuongeza muda wa udahili.
Uamuzi
huo wa TCU, unakuja siku moja baada ya kulegeza vigezo vya wanafunzi wa
stashahada kujiunga na shahada ya kwanza katika vyuo vikuu mbalimbali
nchini.
0 comments:
Post a Comment