MAJINA YA AWALI YA WALIOOMBA MUM, AMBAO WANASUBIRI UTHIBITISHO WA TCU
Majina yafuatayo ni wanafunzi walioomba kujiunga na MUM awamu ya kwanza na
kuthibitishwa na chuo. Kutokana na kanuni; majina haya yanasubiri
kuthibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU); kwa sababu hizo chuo
hakitatoa barua za maelekezo ya kujiunga na chuo hadi pale TCU
watakapowathibitisha.
Hata hivyo, kila mwanafunzi mwenye taarifa kamili na sahihi kama alivyotutumia na kama zilivyo hapa hakuna shaka kuhusu kuchaguliwa kwake!!!
Kama
umetuma maombi na jina lako halipo hapa tafadhali tupigie simu mapema
kuanzia tarehe 19/09/16 hadi 26/09/16! Zingatia kuwa hii ni awamu ya
kwanza na tutaendelea kutoa awamu nyingine!
HONGERENI!
0 comments:
Post a Comment