ALIYEKUWA mwaandishi wa habari wa gazeti linalomilikiwa na Chama Cha Mapindizi (CCM), UHURU, Bw. Frank Kibiki amefariki jioni ya leo jijini Dar Es Salaam mara baada ya kuugua ghafla. Taarifa za awali zinasema kuwa marehemu alikuwa akiugua ugonjwa wa malaria kwa zaidi ya siku tatu na alikuwa akipata matibabu jijini Dar Es Salaam.
Marehemu Kibiki pia alishiriki ktk kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi ya kuwakilisha jimbo la Iringa mjini ktk nafasi ya ubunge. Taarifa zaidi endelea kuperuzi tovuti hii au fatilia taarifa zetu za habari.
0 comments:
Post a Comment