Tuesday, 1 July 2014

SOMA KAULI YA TUNDU LISSU BAADA YA MBOWE KUGOMEWA KUGOMBEA WENYEKITI WA CHADEMA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Dr.Wilbroad Slaa akigombea Uenyekiti wa Chadema naye Mhe.Mbowe akagombea Ukatibu Mkuu wa Chadema Uchaguzi ujao kuna tatizo?.

Hakika chaguzi hizi zinazofuata, zitawarudisha Wasakatonge na Intarahamwe wengi vijijini kwao kutoka Dar Es Salaam, hatutakuwa na cha swalia mtume kwamba alikopa Benki za Umma wa Watanzania mamillioni ya Shillingi, mali zake zote zitapigwa mnada, zikawasaidie Wanafunzi wanaoketi juu ya mawe na akina mama wajawazito wanaojifungulia sakafuni kwa kukosa vitanda mahospitalinl huko majimboni.
Ikumbukwe kwamba Chadema ni Chama Kikuu cha upinzani Nchini, hatua ya kuitwa Chama Kikuu Cha upinzani Nchini ni 'Long Process' inayopitia matukio mengi ambayo sio kirahisi tu kuishushia hadhi Chadema kwa matumizi ya 'Poor technics' kama hizi tunazoshudia sasa. Sisi hatuna wasiwasi hata kidogo kwa sababu hawa ni watu wadogo sana.
Endeleeni kuzitangaza Ilani, Falsafa, Sera na Itikadi za Chama chetu kama kawaida popote pale mlipo, hizi ni dalili za wazi za anguko la watawala wanaoamini kabisa kwamba uongozi wa kidemokrasia ni mtaji wa maisha ya mhusika
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger