Monday 8 January 2018

NECTA:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA PILI 2017- 2018


Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo.

Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu kati ya 1,158,444 waliofanya upimaji huo.

Amesema wanafunzi hao wamefaulu kwa kupata alama zenye madaraja ya A,B,C na D wakati wanafunzi 72,288 sawa na asilimilia 6.24 wamepata alama za daraja E, ambao ni ufaulu usioridhisha.

Kuhusu matokea ya upimaji wa kidato cha pili, Dk Msonde amesema jumla ya wanafunzi 433,453 sawa na asilimia 82.32 kati ya 486,742 waliosajiliwa kufanya mtihani huo wamepata ujuzi wa maarifa ya kuwawezesha kuendelea na kidato cha tatu.

Dk Msonde alisema wanafunzi wa kidato cha pili 51,807 sawa na asilimia 10.68 wameshindwa kupata alama za kuwawezesha kuendelea na kidato cha 
tatu.

Chanzo: Mwananchi

Kwa matokeo ya kidato cha pili, bofya link hapo chini
MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2017
Share:

Tuesday 19 December 2017

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE DESEMBA 19,2017


Share:

Wednesday 1 November 2017

TAMISEMI:TANGAZO LA KUSITISHA AJIRA MPYA ZA AFYA 2017

Share:

Tuesday 31 October 2017

TANGAZO LA KAZI KUJITOLEA JESHI LA KUJENGA TAIFA-JKT OCTOBER 2017

Image may contain: 1 person
Jeshi la kujenga taifa JKT limetangaza nafasi ya kujiunga na
Share:

MPYA:TCU IMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOTHIBITISHWA VYUONI NA WAKARUDIA KUOMBA TENA VYUO 2017/2018

Tokeo la picha la TCU TANZANIA
Share:

TCU:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOTHIBITISHA ZAIDI YA CHUO KIMOJA 2017/2018

Tokeo la picha la TCU TANZANIA
Share:

MPYA:TCU IMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WAMECHAGULIWA CHUO ZAIDI YA KIMOJA NA HAWAJACONFRIM 2017/2018-BATCH 1,2&3

Tokeo la picha la TCU TANZANIA
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WATANZANIA WALIOPANGIWA KAZI KADA YA AFYA OCTOBER 30 2017

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA




OFISI YA RAIS
Anuani ya Simu: “TAMISEMI”
Tawala za MKOA na
Simu Na: (026) 2322848, 2321607
Serikali za Mitaa,
2322853, 2322420
Jengo la Mkapa,
Nukushi: (026) 2322116, 2322146
2 Barabara ya hospitali,
2321013

S.L.P. 1923,
Barua pepe: ps@tamisemi.go.tz
41185 DODOMA.




Unapojibu tafadhali taja:

Kumb. Na. CD. 162/355/01
30 Oktoba, 2017



TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Share:

Monday 30 October 2017

breaking news: MBUNGE WA SINGIDA LAZARO NYALANDU AJIUZULU

Mbunge razalo nyalandu ajiuzulu ubunge na nafasi zake zote ndani ya ccm

Taarifa kamili inakuja
Share:

Sunday 29 October 2017

MWECAU:First, Second and Third Rounds of Applicants 2017/18


Below is a list of applicants who have been selected to join Mwenge Catholic University as per programmes.
Click the following links to vies selected applicants per programme

Share:

SUA:First, Second and Third Batch of Students Selected to Join Undergraduate Degree Programmes for the Academic Year 2017/2018

HOME
Share:

Saturday 28 October 2017

RUCU:A List of Selected Bachelor Degree Students 2017/2018, Batch 3

  • CONFIRMATION

    All students that have been selected by more than one university (multiple admission) and want to join RUCU in 2017/2018 has to confirm by Click here
     
  • List of Applicants Selected by RUCU and other Universities Round 3

    Read more... 
  • SELECTED BY RUCU ROUND 3 AND OTHER UNIVERSITIES IN THE PREVIOUS ROUNDS.

    Read more... 
  • List of Applicants Selected in Third Round

    Read more...
Share:

SAUT MWANZA:loan beneficiary students 2017/2018

SAUT
Share:

UDSM:A List of Selected Bachelor Degree Students 2017/2018, Batch 3

Home

Share:

SJUT: A List of Selected Bachelor Degree Students 2017/2018, Batch 3

St. John's University of Tanzania
Share:

MOSHI CO-OPERATIVE UNIVERSITY-MoCU: Approved Applicants by TCU 2017/2018- ROUND 3

MoCU logo
Share:

UDOM: Loan Allocation, 2017/2018 -Batch 1

udom logo
Loan Allocation, 2017/2018 -Batch 1

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger