Sunday 25 January 2015

BARAZA JIPYA:ANGALIA HAPA MAJINA MAPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI LILILOTANGAZWA JANA NA MH.J.KIWKETE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Wakati aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo jana mchana, Rais Jakaya Kikwete ametangaza marekebisho ya Baraza lake la Mawaziri.
Share:

Saturday 24 January 2015

MPYA:MATOKEO YA KIDATO CHA PILI ZANZBAR 2015 YATANGAZWA INGIA HAPA(MASWAYETU ) KUANGALIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                                                    
Endapo utahitaji kuangaliziwa MATOKEO YAKO TAFADHALI fanya yafuatayo;

1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834 mfano PAUL PAUL(MATOKEO-
  FORM TWO,MKOA MAGHARIBI)

2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu amabyo utaituma kwa MPESA AU TIGO PESA
   KWENDA  NAMBA 0768260834(mpesa) 0653791475(tigo pesa).

3.Tutakujibu ndani ya dk.1 tu,Tuma kwanza pesa ndio utajibiwa.
4.TUNAOMBA UTUAMINI SMS ZOTE LAZIMA ZIJIBIWE PIA NIKUHAKIKISHIE
   KWAMBA,TUPO VIZURI.(usipige simu)
Share:

DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA WA MWANA DADA LINAH FT CHRISTIAN BELLA-HELLOW

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                          Tokeo la picha la LINA SANGA
 KUDOWNLOAD WIMBO HUO CLICK HAPA
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 24 JANUARY 2015-MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
.
.
Share:

Thursday 22 January 2015

BREAKING NEWZ:UHAMISHO KWA WATUMISHI 4352 WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA JANUARY 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa January 2015.

                                                              
Endapo utahitaji kuangaliziwa KAMA umehamishwa kituo cha kazi tafadhali fanya yafuatayo;

1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834 mfano PAUL PAUL(UHAMISHO-
   TAMISEMI)

2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu amabyo utaituma kwa MPESA AU TIGO PESA
   KWENDA  NAMBA 0768260834(mpesa) 0653791475(tigo pesa).

3.Tutakujibu ndani ya dk.1 tu,Tuma kwanza pesa ndio utajibiwa.
4.TUNAOMBA UTUAMINI SMS ZOTE LAZIMA ZIJIBIWE PIA NIKUHAKIKISHIE
   KWAMBA,TUPO VIZURI.(usipige simu)
Share:

Tuesday 20 January 2015

AJALI: ZAIDI YA ABIRIA 40 WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI WALIOKUWA WAMEPANDA KUGONGANA USO KWA USO NA LORO TEGETA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Zaidi ya abiria 40 wanusurika kifo baada ya gari waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori Tegeta.
Zaidi ya watui arobaini wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya  miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori  moja lilionekana kuwa ni la jeshi kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya COSTA la ubungo Tegeta eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.
Share:

BREAKING NEWZ:BAADA YA UDOM,SASA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO NAO WAGOMA ,SOMA IMEKUAJE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY 


Habari zilizotufikia hivi punde MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG ni kwamba wanafunzi chuo kikuu cha bagamoyo wamegoma kuingia madarasani kutokana na sababu mbalimbali zinazowakumba chuoni hapo.
Sababu kubwa ikiwa ni kucheleweshewa pesa yao ya chakula ijulikanayo kama BOOM ,hadi mda huu chuo kikuu hicho kilichopo Pwani kilikuwa katika kufanikisha mgomo huo hautokei.
AFANDE AKIWA KATIKA KUHAKIKISHA USALAMA UNAKUWEPO(picha na maswayetu blog)
Share:

MWANAMKE AKAMATWA KWA UNGA WA BIL.2 NYUMBANI KWA MBUNGE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5.
Madawa hayo yalikutwa kwenye nyumba moja iliyopo eneo la Ununio, Tegeta jijini Dar es Salaam, ambayo ni mali ya Mbunge wa CCM (Jina linahifadhiwa) wa jimbo moja la mikoa ya Kanda ya Ziwa, Uwazi limefukunyua.
Taarifa toka…
Mwanamke (Doreen John Mlemba) anayedaiwa kukamatwa na unga.
Share:

MPYA:MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015  wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.…
Share:

Monday 19 January 2015

MPYA:KWA WALE WOTE KIDATO CHA PILI AMBAO HAWAJAPATA MATOKEO YAO,JAZA FOMU HII KUPATA MATOKEO YAKO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,endapo hujayaona matokeo yako ya kidato cha pili
Share:

Saturday 17 January 2015

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA PILI 2014-2015,YATOKA KATIKA MFUMO WA GPA,UFAULU WAONGEZEKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                            
Habari yenu,kwanza napenda kumshukuru Mungu nawe msomaji wangu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,natumaini u mzima wa afya njema na unaendelea na maisha yako ya kila siku kama  kawaida.
Hatimae Matokeo ya kidato cha pili 2014 yatangazwa rasmi ,huku ufaulu ukiongezeka kwa 3%.
Kama kawaida yetu maswayetu blog tunakuletea matokeo hayo hapa ili ujionee mwenyewe wewe au mwanao kapata ngapi katika matokeo hayo;
Endapo utahitaji kuangaliziwa matokeo ya mwanao au matokeo yako tafadhali fanya yafuatayo;

1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834 mfano PAUL PAUL(MATOKEO FORM TWO
   ,SHULE-KIBAHA SEC)

2.Huduma hii utatozwa tshs.800 tu amabyo utaituma kwa MPESA AU TIGO PESA KWENDA
   NAMBA 0768260834(mpesa) 0653791475(tigo pesa).

3.Tutakujibu ndani ya dk.1 tu,Tuma kwanza pesa ndio utajibiwa.
4.TUNAOMBA UTUAMINI SMS ZOTE LAZIMA ZIJIBIWE PIA NIKUHAKIKISHIE
   KWAMBA,TUPO VIZURI.(usipige simu)

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING
FORM TWO SECONDARY EDUCATION EXAMINATION (FTSEE) 2015 RESULTS
EASTERN ZONE
CENTRE: S0119 - KIBAHA
School Overall Grade Summary  
AB+BCDEFTOT
M77320886563729101199
TOT77320886563729101199
CHGEKEPCBABACB
IIE/INHHIG/DO/
VSODSGYEORMDMK
ITG/WLSMLIAME
RCORKAIIIOCTMEE
ESRAIHSCSGUHARP
P.YPIIHSTYL.TCI
E..HSL..R.T.HEN
A..YLI..Y.U...G
TS...A.....R....
EE...M.....E....
CNORNAME OF CANDIDATEX...U..........GPACLASS
0001ABDALA S KOMBOMAAAAAAAAA
B+
AA5.0DISTINCTION
0002ABDALLAH M MGEMBAMAB+B+
B+AB+ABB+B+


4.4DISTINCTION
0003ABDALLAH O MWINSHEHEMAAA
AAAB+B+BB+


4.9DISTINCTION
0004ABDUL-AZIZ H MAYINGUMAAB
BAAB+B
A
FE4.6DISTINCTION
0005ABEDNEGO T KABIGIMAAA
B+ABCB+CB


4.4DISTINCTION
0006ADILI L ARTASHASTAMAAA
AAAAA
A
AA5.0DISTINCTION
0007ADRIANO G SIMBEYEMAAA
AAAAA
A
AA5.0DISTINCTION
0008AKUKWETI M NJELANIMAB+B+AB+ACCB+CD


4.4DISTINCTION
0009ALFRED F FUSSIMAB+B+
B+AB+BB+B+B+


4.3DISTINCTION
0010AL-HAIDARI H NGOMEROMAAAB+AAAAAAA


5.0DISTINCTION
0011ALI H MWINCHANDEMAAAAB+AAAAAA


5.0DISTINCTION
0012ALLY D MCHILLAMAAA
B+AAAAAA


5.0DISTINCTION
0013AMIRI H MGONJAMAAA
B+AAAAAA


5.0DISTINCTION
TAFADHALI BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA MATOKEO HAYO;


Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger