Monday 2 June 2014

DIAMOND AGONGA SHOO YA NGUVU, AWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI



Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani.
Share:

JESHI LA POLISI LAMTAKA MUME WA MWIBAJI WA NYIMBO ZA INJIRI FLORA MBASHA JITOKEZE MWENYEWE


TAHADHARI! Wakati akiwa hajulikani alipo huku akishtakiwa kwa tuhuma ya ubakaji wa shemejiye, jeshi la polisi Bongo limemtaka mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha kujisalimisha mwenyewe.
Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha.
Share:

NDOA NDOANO, MUME AMPIGA MKE WAKE KWA MCHI KICHWANI KISA HAWARA


MY God! Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Pamela Said (30) amedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex kisa kikiwa ni simu aliyopigiwa mumewe na hawara’ke.
Mke wa mtu anayefahamika kwa jina la Pamela Said (30) anayedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex.
Share:

MAJANGA BONGO MOVIE MTITU AMPA MAKAVU JB


KATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila Haule ‘Recho’.
Msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu (wa tatu kutoka kushoto) akiwa karibu na jeneza la Recho Haule.
Share:

BONGO MOVIE BIFU MWANZO MWISHO,BIFU LA RAY NA JOHARI

Ishu! Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ Productions, waliowahi kudaiwa kutoka kimalovee, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ wametoa kali ya katika Makaburi ya Kinondoni, Dar, wakati wa mazishi ya mwigizaji mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ baada ya kuombwa kwa pamoja wainuke kuweka shada kaburini lakini wao wakachengana.

Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ Productions, waliowahi kudaiwa kutoka kimalovee, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ wakiweka shada za maua kaburini,kila mmoja kivyake bila ya umoja wowowte.
Share:

Sunday 1 June 2014

HOSPITALI YA RUFAA KUJENGWA SINGIDA-ZAIDI YA BILIONI 6.7 ZATENGWA


DSC_0473
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahamani Kinana akiongozwa na Mkuu wa Moa wa Singida Dk, Parseko Kone, Katibu Tawala Lianna Hassan na viongozi wengine wa Mkoa wa Singida kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wakati Kinana alipokuwa Mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku saba.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Share:

JE,ULIYAFAHAMU HAYA KUHUSU MAREHEMU GEORGE TYSON?SOMA HAPA


TYSON
Jana usiku habari zilizoshtua watu wengi ni kuhusu kifo cha director mashuhuri George Tyson. Hivi sasa kuna taarifa ambazo hazijawahi kutolewa na hawa wahusika kuhusu marehemu Tyson. 
Share:

MASANJA NA DIAMOND WASHAMBULIWA NA MASHABIKI,WASHINDWA KUTOA POLE MISIBA 3 BONGO


Ukiingia Instagram leo utakutana na post nyingi za R.I.P George Tyson katika akaunti za wasanii wengi wa bongo movie na wa muziki, pamoja na wadau mbalimbali wa burudani, ingawa hakuna dalili za huzuni katika akaunti ya Diamond na Masanja zaidi ya picha za bata nchini Marekani.

Masanja3
Share:

OMMY DIMPOZI APATA KIMWANA-KICHEKI HAPA


OOmmy Dimpoz amefunguka na kudai kuwa mitandao ya kijamii imempa mke mchumba.
Share:

RADA YADONDOSHWA NA WACHAWI-USIKU,SOMA HAPA



Rada na matunguri yanayosadikiwa kuangushwa usiku na wachawi kutoka angani vimezua tafrani la aina yake jirani na kanisa la kilokole, Risasi Jumamosi lina mzigo kamili.
Mwinjilisti ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikagua vifaa vya wachawi baada ya kuangushwa.
Share:

HII HAPA TAARIFA KAMILI YA JESHI LA POILISI-KUHUSU MUME WA FROLA MABASHA(UBAKAJI)


Exclusive: Jeshi la Polisi lathibitisha kupokea tuhuma za ubakaji dhidi ya mume wa Flora Mbasha (Audio)


Jeshi la Polisi limethibisha kupokea tuhuma za ubakaji dhidi ya mume wa mwimbaji wa injili Flora Mbasha anayefahamika kwa jina la Emmanuel Mbasha.
Share:

MONALISA AFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA MUMEWE-TSON



Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Monalisa amemlilia Tyson kwa kuandika yafuatayo:
Share:

MUME WANGU HANIRIDHISHI KITANDANI,NIFANYEJE?




Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla sijaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana. Na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa.Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukis3x akipiga moja ya km dk 10 akimwaga ndio imekwisha hajawahi kurudia, ni mpaka labda kesho tena au baada ya siku kadhaa.  
Share:

MDADA MWINGINE AJIANIKA NUSU UCHI-ANGALIA HAPA

Mavazi mengine jamani ni balaa cheki huyu dada alivyo vyaa yaani ni nusu uchi,picha zipo chini hapo bofya kuangalia yaani ni balaa
Share:

VILIO VYATAWALA BAADA YA ,MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON KUWASILI KAIRUKI




Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari.
Share:

RAY C ATAMANI PENZI LA BABU KIZEE-ACHOSHWA NA VIJANA



MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60.

Akizungumza katika kipindi cha ‘The Sporah Show’, Ray C alisema anahitaji wanaume wa umri mkubwa, kwa kuwa wanajua wanachokifanya, na kukiri kwamba vijana walichangia katika kurudisha nyuma maisha yake.Msanii huyo ambaye kwa sasa ameanzisha asasi yake ya kupambana na dawa za kulevya, kutokana na yeye kuwa mmoja wa waathirika wa dawa hizo, alisema katika moja ya mambo anayoyajutia ni kuwa na mahusiano na vijana, jambo ambalo hataki kukumbuka walichomfanyia hadi kudhalilika mbele ya jamii.
ray1
Share:

MASKINI :MTOTO ALIYEKUWA AMEFICHWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA 4 AANZA KUPUMULIA MSHINE





MTOTO Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne mkoani Morogoro, sasa anaopumulia mashine  katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Nasra, alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alipohamishiwa Mei 26 mwaka huu kwa ajili ya uchunguzi zaidi akitokea katika Hospitali ya mkoa wa Morogoro...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger