Wednesday 28 May 2014

MASTAA BONGO MUVI WAMLILIA RECHO


Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akilia kwa uchungu.
Share:

CHUMBANI ZAIDI!!..NGUO ZINAZOFAA KUVALIWA CHUMBANI,UKIWA NA MPENZI WAKO



Photo: NGUO ZINAZOFAA KUVALIWA CHUMBANI,UKIWA NA MPENZI WAKO.

Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.Hapa nitazungumzia mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani mke na mume..
 Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini baadhi ya wanawake huwa wanashindwa kuzijua haraka mbinu za kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo...Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza kuwa gauni nyepesi inayoonyesha maumbile yako ama siku hizi kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo lakini wanawake ni dawa nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha mumewe kwa njia mbalimbali ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke...
mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo...Ndugu yangu
Share:

UKATILI: BABA AMPAKA MWANAE PILIPILI MACHONI, AMCHAPA VIBOKO, NGUMI NA MATEKE HADI KUFA




JESHI la Polisi mkoani Geita, linamshikilia William Kibyala (40), mkazi wa Kijiji
Share:

MTUMISHI WA IDARA YA AFYA AKUTWA KAFIA GESTI


Mwili wa Marehemu Munuo ukitolewa katika Gesti hiyo

Mtumishi wa idara ya Afya katika halmashauri ya mji wa Kahama,
Share:

UKIONA HAYA UJUE UYO MWANAMKE NI MTAMU KITANDANI





LEO NINAKULETEA MADA FLANI NILIYOIPATA KWA KAKA FLANI KUHUSIANA NA UZURI NA UTAMU WA MWANAMKE.
Share:

MAJANGA!!..MREMBO ANASWA KAVAA NGUO ZA KUAMBIANA



AMA kweli duniani kuna sarakasi! Takribani siku kumi tangu alipofariki dunia aliyekuwa ‘kichwa’ kwenye filamu za Kibongo, Adam Phillip Kuambiana (38), mrembo aliyejitambulisha kwa jina Mary Njombe amenaswa na nguo za staa huyo wakati mali za marehemu hazijagawanywa.
Mary Njombe aliyenaswa akiwa amevaa nguo za marehemu Adam Phillip Kuambiana.
Share:

Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar Wanachosha, ni Mzigo



Kutokana na mjadala wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje uliokuwa unaendelea , Mbunge wa Nkasi Ndugu Ali Kessy ameporomosha matusi mazito kwa wazanzibar kuwa ni watu wa hovyo na ambao kila mara wanalialia tu kuwa wanabaguliwa , wanadai mambo mengi kuliko uwezo wao na wakati hawachangii hata senti kwenye Muungano na hivyo kama wanaona wanaonewa waende kwenye nchi yao sio kukaa kwetu.......
Share:

MAJANGA!!..MREMBO ACHANWA NA VIWEMBE KWA WIVU



INASIKITISHA sana! Stela Mbinga ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Tegeta - Kontena jijini Dar amepata balaa kubwa baada ya kuchanwachanwa uso wake kwa viwembe na jirani yake aliyefahamika kwa jina la Zakia Mohamed.
Stella Mbinga akiwa na majeraha ya viwembe.
Share:

AJIACHIA UCHI MTANDAONI ILI AWANASE WANAUME WANAOJUA KUDUUU




Share:

Adam Kuambania alimtabiria Rachel Haule atajifungua mtoto wa kiume na amwite Kuambiana




Ikiwa ni wiki moja tangu afariki na kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni, msanii na muongozaji wa filamu, Adam Philip Kuambiana, imebainika kuwa siku chache kabla ya kifo chake alimtabiria msanii mwenzake ambaye kwa sasa ni marehemu Rachel Haule kuwa atajifungua mtoto wa kiume na kumtaka ampe jina lake ‘Kuambiana’.
Share:

Mhm!!..AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA


MSANII wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa mkononi na kesi hiyo inaendelea katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akliwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.
Share:

MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA

FEDHA inaongea! Mastaa wanaowakilisha Klabu ya Bongo Movie Unity na Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) wameonesha jeuri ya fedha kwa kuwatunza maharusi, mwigizaji Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda.
Mastaa wa Bongo Movies wakionyesha jeuri ya fedha katika harusi ya msanii Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda.
Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Mwika, Sinza jijini Dar ambapo pamoja na zawadi nyingine, maharusi hao waliondoka na shilingi millioni tatu, fedha taslimu.
Mpango mzima wa kuwamwaga ‘minoti’ uliongozwa na muigizaji Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Jacob Steven ‘JB’, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na wengineo ambapo mwishoni hesabu ya jumla ilitimia shilingi milioni tatu.
Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere akisherehesha katika harusi hiyo.
Kwenye sherehe hiyo, hawakuonesha utengano, hawakujali kama ni memba wa Bongo Movie au Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) lililowakilishwa na rais wake, Simon Mwakifamba ambaye muda wote alionekana mwenye furaha.
Paul Mtenda akiwa na 'mai waifu wake' Vanitha.
Mbali na Steve Nyerere, JB, Batuli na Dude, mastaa wengine waliohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na Issa Mussa ’Cloud 112’, Elizabeth Michael ‘Lulu’, William Mtitu, Single Mtambalike ‘Rich’, Yvonney Cherry ‘Monalisa’, Suzan Lewis ‘Natasha’ na wengine wengi.
Share:

Monday 26 May 2014

SHARA KUBWA TANO ZA MWANAMKE ALIYEKUZIMIA KISAWASAWA....soma hapa usipitwe !!!!


 
Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa
Share:

AIBUUU..!! ANASWA LIVE AKILA URODA NA MCHUMBA WA RAFIKI YAKE..JIONEE PICHA HAPA



Anaswa akila uroda na mchumba wa rafiki yake kipenzi. Baada ya mtu mmoja
Share:

AANA...!! PICHA ZA UCHI ZA DENTI WA CHUO KIKUU NCHINI ZAVUJA MTANDAONI...NA KUZUA GUMZO KUBWA ....!!


Ma denti waishio hostel wana kila aina ya vituko, Haya yalio tokea hivi karibuni. Simu iliokotwa chuoni ya denti mmoja wa kike ikiwa na picha za uchi walizokuwa wakipigana wenyewe hostel, picha hizo zimevuja kwa 
kasi.
PIA KUMBUKA KU LIKE PAGE YETU UPATE MATUKIO ZAIDI KILA SIKU
 
                <<<PICHA KAMILI BONYEZA HAPA>>>>
 
 
VIDEO BOFYA HAPA
Share:

LUNGI WA BONGO MOVIE AACHIA MWILI WAKE WAZI KUONESHA TATUU


MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja.
Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga.
Share:

NIKKI WA PILI: SIJAWAHI KUMTUNGIA NGOMA JOH MAKINI


UNAPOZUNGUMZIA makundi ya Hip Hop yanayofanya vizuri kwa sasa ni wazi utalitaja kundi moja maarufu kutoka pande za Arusha, Weusi.
Nickson Simon (Nikki wa Pili) baada ya kulonga na Global TV Online.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger